Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

Nani anarekebisha AI errors?
Nani Anarekebisha human errors . ??

Najua una vibrate kwa mtetemo wa chini

Nataman u vibrate kwa mtetemo wa juu ili tuelewane

Ila kwa kukushauri kama kweli wewe Medical Professionals, Nenda katafute kitabu kinaitwa Medical Accidents in the medical field ambacho kina presented cases …. It is an eye opener for you

Medical and Drugs accidents caused by Doctors and Hao unaowaita Famasia take about 60% than roads accidents combined ! Do you know that ?

Dogo , Then ukitoka hapo kasome Medical Malpractice Claims ( 2019) ….. then come
To discuss with me otherwise you are wasting my time
And you are too junior nikisoma tu comment yako
Pole
 
Fika hospitali ya Ocean Road ndio utaelewa vizuri zaidi.
Nimefanya kazi Ocean for 6 years .Ni nini ambacho sikijui cha Ocean Road

In case hufaham, Nimefanya kazi katika Hospital ya Kagera… it was my first employment…. Baada ya hapo nikakimbilia Ocean Road for 6 years …. Then I shifted to WHO na kuondokq TZ .

Mbona unaongea kama layperson…. Unaniambia nifike Ocean Road then what ?

Toa facts zako against my point tukutane katikati
 
Wafamasia wabaki kwenye inspection

Drs nao wakae mguu sawa hasa hao general doctors

Kuna baadh ya nchi General Doctors hawana deal at all

Kazi zao nurse or famasia can do
Zipo nchi nurse ana prescribe

Maana kuna prescribe sio ishu…. Kila kitu kipo kwa STG …. Sio kwaba kinatoka kichwan

Trust me , Robotics are becoming better than all that
 
Ni sawa na ndio maana tumesema
Namba of drs and all that itapungua

Hii itasaidia pia wenye Hospital kupunguza cost za kuajiri watu wengi

Badala ya kuajiri 5 drs… only one and nurse watatosha
 
Mfano mzuri wa ai ni traffic lights, zinafanya kazi 24/7 bila kuchoka, afisa polisi hawawezi fanya hivyo kwa accuracy
 
Ni sawa na ndio maana tumesema
Namba of drs and all that itapungua

Hii itasaidia pia wenye Hospital kupunguza cost za kuajiri watu wengi

Badala ya kuajiri 5 drs… only one and nurse watatosha
Pia tukumbuke AI inapynguza sana ajira. Chukulia nchi km India au china ktk hiyo projection yako Hali ya ajira itakuwaje? Maana Bora sisi huku hakuna 5g mpka leo na vijijini huko gari tu hazifiki.
Niliona mbunge mmoja wa India alisema AI itaongeza shida ya unemployment kwa vijana.
Yote yote the knowledgeable will survive
 
Wanaonya kwanini? Waafrica jamani tunakimbia maendeleo 🤣
Umesoma hiyo article? Kuna series (jina limenitoka) moja jina nimelisahau inazungumzia future ya AI na hiki kitu cha AI kufix chenyewe wameizingumzia.Hamna anaye kataa maendeleo ila lazima kuwe na regulations ya hizi AI.

AI ikiwa nauwezo wa kujifix yenyewe,maanake binadamu huitajiki tena. Kwenye kujifix kunaweza kuwa na faida chanya au kinyume chake kunaweza kuwa na madhara. Kingine nacho Musk alichokuwa akisisitiza,hizi robot zenye AI ziwe update manually ila sio kupitia Internet. Kwani kuna mahacker wanaweza kuzipa instruction na kuzi corrupt hizi robots baadae zikaleta madhara kwa binadamu.
 
Utakufa vibaya wewe ukiendelea kupewa dawa na AI, siku system itajikoroga iku overdose au ikuchanganyie sumu ndio utajua umuhimu wa mfamasia daktari utakapokuwa umetundikiwa dripu unatolewa sumu.
Kwani hao madaktari hawakosei?

Binadam na system ipi ni simple to make mistake?
 
Tupe wako mzuri

Endelea kuendesha manual cars
Auto ni za kike 😹
Usihangaike nae kuna nadharia inaitwa Diffusion of Innovation Theory . Huyo jamaa yupo kundi la Laggards so usishangae.

Nadharia ya Uenezaji wa Ubunifu (Diffusion of Innovation Theory) ilianzishwa na Everett Rogers mwaka 1962. Inahusu jinsi mawazo mapya, teknolojia, au bidhaa zinavyosambaa miongoni mwa watu au jamii kwa kuzingatia muda na wakti.

Nadharia hii inaeleza kuwa watu hupokea na kutumia ubunifu kwa viwango tofauti kulingana na vikundi vifuatavyo:
  1. Innovators (Wabunifu): Watu wa kwanza kujaribu ubunifu kwa kuwa wao ndio waliovumbua. Ukivumbua kitu wewe ndo unaanza kuwa mtumiaji wa kwanza na familia yako, kwa hiyo unakuwa ktk kundi hili.
  2. Early Adopters (Watumiaji wa Mapema): Hawa wanafuata mara baada ya wabunifu wa awali kuanza kutumia bidhaa husika. Kundi hili huchukua hatari ndogo (risks) kwa kuwa athari zozote za bidhaa au huduma wao huwa wahanga au wanufaika. Kimsingi hili ndio KUNDI LA WAJANJA WA MJINI.
  3. Early Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Kwanza): Wanapokea ubunifu baada ya muda mfupi, wakisubiri maoni ya wengine hasa wale early Adopters. Kundi ndo wale wa "umetumia Google Pixel? Vipi inatoa picha nzuri nasikia!!" baada ya udadisi ndo atanunua sasa. Kwa maoni yangu wabongo wengi wapo kundi hili ndo maana Toyota Crown na Dualis na Forester zimejaa kitaa. Kuigana.
  4. Late Majority (Watumiaji Kadamnasi ya Mwisho): Wanapokea baada ya ubunifu kuthibitishwa kuwa salama na hauna madhara kabisa. Ili watumie hiyo bidhaa inahitajika nguvu kubwa sana kuwashawishi. Halafu sasa kuna hawa;
  5. Laggards (Wachelewaji): Wanakubali ubunifu kwa kusitasita baada ya muda mrefu au wanaweza wasikubali kabisa. Hawa ndo wale mpaka leo hawaamini katika smartphone bado wapo na simu za 2G. Au wale wa auto ni gari la kike bado wanaendesha vintage.
Nadharia hii inaonesha tabia za walaji I.e. Consumer behaviour. Katika hayo makundi kundi la 3 & 4 ndo yana watu sana na nadharia hii inaweza kumfaa yeyote ktk biashara kubainisha tabia za walaji wa bidhaa na au huduma anazotoa
 
Hata lissu alipotandikwa risasi kuna mkubwa wizara ya afya nasikia alishauri apelekwe nairobi badala ya mnh, maana mnh tech ni ya kijima, nimelia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…