Dunia inaenda kasi, shaurini watoto wenu nini cha kusomea. Kuna baadhi ya kazi zinakwenda kupotea mazima

Bank tellers kwa bongo bado wanasoko hawataisha Leo mkuu

Ebu kwahyo mimi na degree yangu ya bizness administration kwamba itakufa miaka ijayo? 🤣acha utani basi mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aaah kumbe upo Canada mwanetu habari za asubuhi maana huku kwetu ni usiku sahivi (unajisikiaje hapo nje 🥶)
Sana sana

Nilikuja kula Xmass Tanzania. Nilishqngaa naenda Bank nakutana na tellers kutoa hela aisee
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Ni kweli kabisa. Hongera kwao Wahindi waliliona hilo kitambo sana. Wanajitengenezea ajira ya kudumu wao wenyewe
 
Hii ni kweli kabisa
 
Maadam mwanadamu ataendelea kuwepo kwenye uso wa dunia hata kosa cha kufanya kumuwezesha kuishi kwenye ardhi ya dunia hii.
Ile kuzaliwa tu tayari dunia imeshakuandalia ule nini ulale wapi uvae nini hadi utakapo hitimisha mzunguko wako kwenye ardhi hii ya dunia
 
Endeleen kusifia anaupiga mwingi

Kama ulikuwa hujui ni kuwa International schools nyingi wanasoma Codes as part of their lives

Gvt school endeleeni kusema tunamshukuru Maama kwa kutuchimbia choo cha shule

Mkija kuamka it is too late
Wewe acha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi.
 
😂😂😂😂... Ndio hivyo mkuu, watu wanapata tabu sana katika kutengeneza logics za kiprogramia kwasababu wamechelewa kujifunza na hapo hapo wanakariri ili wasipate sup tu
Hayo mambo ya programming hayafai kwa watu wazima.... kimsingi haya mambo yenye uhusiano na computer yanatakiwa yaanziwe utotoni.
 
Kwangu mimi naona ni vyema mtu ukaanza chukua mashamba mapema, maana chakula hakina mbadala.
 
Wewe jamaa kudiagnose mgonjwa kuna hitaji history physical examination sasa kuna robot anaweza kumuexamine mgonjwa unajua unaongea vitu usivyovifahamu mkuu unaijua vizuri kozi ya afya ??? Robot anaweza kufanya follow up ya mgonjwa clinic
Katika trends za digital transformation kuna vitu kama Big data au big data architecture na Advanced neural machine learning au deep learning. Hivi vitu vinamuondoa daktari kazini, kibongo bongo itachukua muda kwasababu katika trends sisi bado tupo kwenye mobile internet technology, ila kaa ukijua one day utakua replaced na robot.
 
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Tulime jama tulime,
Tushinde adui njaa.
 
Umeandika point kubwa sana kitaalamu. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako. Kiukweli hii mtu mzima kwenda kuanza kuandika codes akiwa chuo kikuu ni kitu cha kusikitisha sana. Jitu limeshaonja papuchi za kutosha hawezi kuwa na utulivu wa kuandika codes vizuri. Hizi language wangeanzia hata darasa la 3 kufundisha. Somo kama HISTORY lingekuwa tu kama Civics kwa sababu halina maana yoyote mtaani. Mbaya zaidi historia yenyewe inafundishwa mambo machache sana. Mengi yanafichwa.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mkuu kwamba jitu limeonja papuchi za kutosha 😀😀
 
Hizi technology zinaenda ku create mass unemployment
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.

Hata kwa upande wa Afya tujiandae.

Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and programmed with AI, machine learning, Big data analysis, blockchain and internet of things, clouding, robotics. Cybersecurity Language transformation etc

In the near future hatutohitaji kuwa na bank tellers, procurement officers, loan officers, logistic officers, managers etc. Kama Serikali na wananchi mnajiandaa vipi na hizi changes?

Wale wazee wa kuongezewa muda wa kustaafu hadi 65 tutatoboa na hizi changes? Si mnakumbuka tulivyo phase out manual’cars? Then tujiandae.

Wazazi angalieni wapi watoto wafocus zaidi kielimu, msije mkasema hakuna ajira mtaani….. kumbe mmewekeza kwenye elimu ambayo haina tija in next 10 years.

Hapo chini in red ni list ya kazi zinazoenda KUZIKWA so soon na ambazo hazijatajwa.
Blue color ni fast growing job !
View attachment 3198864
Kwa mfano hiyo Electric Vehicle Specialist ukaamua kubobea kwenye gari za Ulaya tu kama BMW, Benzi, Range etc etc. Utakuwa unawalia pesa matajiri balaa. Then ukaja ku specialize kwenye umeme wa Toyota ukawa Specialist, utakuwa unapiga hela za watu wa kati kama IST, Premio, Rav 4, Vanguaard etc

Au uka specialize kwenye Medical Engenearing and digital integration yaan unakuwa expert wa yale mamitambo ya Hospitals na digital devices zote, utakula hela hadi uchanganyikiwe …. Ishu ni uwe na COMPETENCY? Attitude na Umesomea wapi?

Haya ma course kama Ma MD, ma famasi, nurses zinakwenda kuwa minimal demand so soon.

With AI and robotics ukiweka tu symptoms unapata recommandation ya vipimo vya maabara na diagnosis , na results za maabara zinakuwa interpreted with prescription drugs within a second.. unaenda wash room kukojoa results za maabara unazipatia huko huko kwenye big screen.

Tunakwenda kuongeza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira so soon,

tuendelee kusema anaupiga mwingi, ameweza ameshinda.

Take care

Dr Megalodon, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Ni kichekesho ,Mzumbe mpaka Leo wanatoa degrees za masijala,
Wao ilimradi tu, mpunga uingie. Haya masuala ya soko la ajira hawana ishu nayo, utajua wewe. Vyuo vingi vinaendelea kuogeza program za mchongo sana
 
Hiyo research imefanyika katika nchi zilizoendelea. Ninyi ambao nchi zenu bado zimelala, teknolojia ya viwango hivyo itafika miaka 300-1,000 ijayo.
 
Back
Top Bottom