Mungu atusaidie, watu wengi wameshindwa kutofautisha kati ya UPENDO na DINI. Ieleweke tu Msingi wa Dini yeyote au Dhehebu lolote ni UPENDO. Lakini pia na familia zetu zisisahau Msingi wa Familia ni Upendo.
Familia zetu nyingi zinakosa upendo na kuathiri jamii nzima.