Dunia inakoelekea ni huku

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Kwa kifupi waliobadilisha jinsia kuwa za kike wanataka haki ya kutumia kutumia vyoo vya kike
Wenyendoa za jinsia moja wanalalamika kunyanyaswa na muoka mikate
Wasio na dini wanafundisha yao.
Wanawake wanataka usawa wako kwenye maandamano.
Wakristo wanaonekana kuwa ni tatizo la yote haya kwa kuweka imani yao kwa wote.

Ukisimamia imani yeyote utapingana na wengine.
Yesu alisema asiye na mimi ni mpinzani wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…