Dunia inakuja nchini Kenya

Dunia inakuja nchini Kenya

Yah ni 200.....and I've heard muthee on kbc say they are working with wangari mathai foundation to see how people can get tickets by planting trees
manze mimi ningekua marketing manager wa AK i would have buses collecting people from north rift accomodation and food wanajitegemea because those people sleep and wake up athletics kwa nini watu wajae katika rally ya jubilee na nasa na ni upuzi tu wanaongea afadhali waende stadi waone our national pride
 
Kasaram stadium moja hyo
Aiseee staikosa hii

Embu weka bei ya tiket mkuu
 
Kasaram stadium moja hyo
Aiseee staikosa hii

Embu weka bei ya tiket mkuu
19657408_1605023659521887_4735950269498466438_n.png
 
Hao wakenge watakuwa wanakesha wanafanya doping kama kawaida yao ili mradi wapate ushindi usio halili.

Uhuru Kenyata for second term, vote Uhuru
 
Hongereni Wakenya hatua nzuri kwenu ku host event kama hyo.
 
Na wewe Mbulumundu...

Hakuna mkenya hata mmoja anajua Mbulumundu. Endeleeni kubwia madawa na kuongeza nguvu na kushushia mirungi
Litakuwa ni jina lako hilo,tuliza mapepe jombaa Kasarani maneno yashaanza fatilia live kwenye runinga ya KBC1.Alaa,hutaki kuhesabu medali za tz wewe?Maandaas!
 
dunia inakuja Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] patatosha kweli?

TECNO-C5 Wereva
 
Back
Top Bottom