Dunia inaogopesha ila wewe Usiogope, Maisha sio mashindano

Hili Bandiko lingekua inazungumzia ngono na style zake za kugonoka saiv ingekua na wachangiaji 1300, waswahili awapendi kbsa kupata Elimu na hata ukiandika kitabu hkna mnunuzi nchi ina watu wa hovyo kila kada
 
Nina kadi 6 za kuchangia harusi Zote za mwezi wa 7, minimum ni laki saba hiyo.

Last weekend imeisha harusi moja nimejikausha kama sipo, ni kweli usipoishi kama wewe utakuwa kama mtumwa duniani kutaka uonekane mwema kwa kila mtu.
Bado 6 [emoji1]
Naona mikaushe iliendelea

Ova
 
Uzi mzuri sana

Ishi ujuavyo,maisha siyo mashindano
Usiishi kuwaridhisha watu

"Kuna kitu humu jf,ukisema umepanda daladala utawasikia wadau humu wanaponda ah kumbe hauna gari [emoji1]"

Ova
 
Bado 6 [emoji1]
Naona mikaushe iliendelea

Ova
Yule wa mwezi wa 6 nimekutana naye leo asubuhi ananilaumu nimemuomba radhi nilikuwa na mitihani ya kimaisha tumesameheana imeisha hiyo, tena kwenye group la WhatsApp nilifuatilia michango ilitosha na shughuri ilifana lakini mswahili haridhiki na hayuko interested kujuwa nimepitia changamoto gani.

Sasa hawa wa mwezi wa saba nitapima uzito na strong ties ziko wapi basi nitachangia kadi mbili tu wengine wanisamehe, school fees zinatakiwa baada ya likizo ya Annual.

Maisha yetu ni ya shida sana usipokuwa makini mwaka mzima unageuka mtumwa hata kujipa raha utashindwa.
 
Hahaha pole sana

Najua lazima utaingia kwenye lawama

Ila mwisho wa siku angalia upande wako tu

Ova
 
Lesson to learn
 
Uzi mzuri sana

Ishi ujuavyo,maisha siyo mashindano
Usiishi kuwaridhisha watu

"Kuna kitu humu jf,ukisema umepanda daladala utawasikia wadau humu wanaponda ah kumbe hauna gari [emoji1]"

Ova


🤣🤣🤣

Kutokujiamini tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…