Kabisa we mwache awayewayeDunia ina vitu vingi sana. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake
Itaitwa kupata Kwa Nyota!Dunia ina vitu vingi sana. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake
Itaitwa kupata Kwa Nyota!
Uliamini nchimbi angalifukuzwa ccm huku Mh Katambi atakuwa waziri?Itaitwa kupata Kwa Nyota!
Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Ni mjinga tu ndiye anayeweza kudhani yuko salama kwenye utawala wa CCM. Nchi ikishakuwa ni inaongozwa kihuni bila kufuata sheria na watu wengi wakakaa kimya kama haiwahusu, basi hakuna aliye salama. Labda watanzania wengi upeo wetu wa kuona mambo kwa kina uko chini (elimu) ndiyo maana tunashangaa. Ukiwa msomaji wa historia za tawala mbalimbali, kuna mifano mingi mno.Uliamini nchimbi angalifukuzwa ccm huku Mh Katambi atakuwa waziri?
HILO "KATUGA" ANALIJUA NDO MAANA ANATANGULIZA HESHIMA NI VILE TU ANATEKELEZA MAJUKUMU YAKE..Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Tusidanganyane hapa. Hakuna mpango wa Mungu hapa. Ni mipango ya wanadamu.Mipango ya MUNGU ni mikuu
Mungu tunamsingia sana mkuu.Tusidanganyane hapa. Hakuna mpango wa Mungu hapa. Ni mipango ya wanadamu.
Dua la Kuku, Adv Katuga akimaliza hii Kesi anateuliwa kuwa JajiDunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Majukumu yepi?HILO "KATUGA" ANALIJUA NDO MAANA ANATANGULIZA HESHIMA NI VILE TU ANATEKELEZA MAJUKUMU YAKE..
Hata mchimbi alikua makamo wa Rais, unadhani alizaliwa nao?Dua la Kuku, Adv Katuga akimaliza hii Kesi anateuliwa kuwa Jaji
hilo swali gani pale unaona yupo mahali gani na anafanya nini kwa niaba ya nani.Majukumu yepi?
Sheikh wa Bakwata leo umeongea pointi!Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Nikupe mfano wa maisha halisi.Itaitwa kupata Kwa Nyota!
Hata nchimbi alijiona anafanya kwa niaba ya watz. Kiko wapi?hilo swali gani pale unaona yupo mahali gani na anafanya nini kwa niaba ya nani.