Nikupe mfano wa maisha halisi.
Mm nipo nchi flani na kwa bahati mzuri nafahamika na maarufu sana kwenye mjii huu nilio. Kuna sehemu nilitaka kujenga maduka kwa bahati mbaya watu wa serikali walinisumbua sana mpka ikafikia mahala nilitaka wazee kunisaidia huu mgogoro walioanzisha wenyewe wakutaka kunipora sehemu yangu. Wazee wakashindwa na tamaa sikukata, kuna jamaa flani aliongea na mtu wabaraza la mji kutakakujua kwann wananisumbua kumbe lengo lao ni hela. Jibu nikalipata nikawaulza wanachohitaji nikawapa hela yenye thamani ya 5M. Siku ya pili yake wakatia saini zao na ujenzi ukaanza na vibali vyote wakanipa.
Mwaka mmoja baadaye walinihitaji kwa sababu walitaka kujenga banda lao la soko na njia kuu ni sehemu yangu walionisumbua nayo kipindi nahitaji kujenga na kwa bahati mzuri huyo aliyefanya kujimwambafu akanionea aibu akatuma watu wake waongee na mm kuhusu njia ya kupita ili kufika wanapotaka kujenga na hapo ni ndani ya kabisa ya eneo langu na kuna mchanga karibu gari 16 na mawe mengi tu.
Waliniambia watumie hivyo vitu ili baadaye walete nikawambia nahitaji maandishi hayo ndio nitawaruhusu.
Mpaka leo hawajajenga tena.
Kiufupi usimdharau mtu kwa mwonekano wake kwa kujiona una mamlaka kwa kuwasumbua wengine ipo siku yako yatakufika.