Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
SAWA Ndammu, kweli Maisha ni safari ndefu! Hakuna ajuaye atafika lini na saa ngapi!Nikupe mfano wa maisha halisi.
Mm nipo nchi flani na kwa bahati mzuri nafahamika na maarufu sana kwenye mjii huu nilio. Kuna sehemu nilitaka kujenga maduka kwa bahati mbaya watu wa serikali walinisumbua sana mpka ikafikia mahala nilitaka wazee kunisaidia huu mgogoro walioanzisha wenyewe wakutaka kunipora sehemu yangu. Wazee wakashindwa na tamaa sikukata, kuna jamaa flani aliongea na mtu wabaraza la mji kutakakujua kwann wananisumbua kumbe lengo lao ni hela. Jibu nikalipata nikawaulza wanachohitaji nikawapa hela yenye thamani ya 5M. Siku ya pili yake wakatia saini zao na ujenzi ukaanza na vibali vyote wakanipa.
Mwaka mmoja baadaye walinihitaji kwa sababu walitaka kujenga banda lao la soko na njia kuu ni sehemu yangu walionisumbua nayo kipindi nahitaji kujenga na kwa bahati mzuri huyo aliyefanya kujimwambafu akanionea aibu akatuma watu wake waongee na mm kuhusu njia ya kupita ili kufika wanapotaka kujenga na hapo ni ndani ya kabisa ya eneo langu na kuna mchanga karibu gari 16 na mawe mengi tu.
Waliniambia watumie hivyo vitu ili baadaye walete nikawambia nahitaji maandishi hayo ndio nitawaruhusu.
Mpaka leo hawajajenga tena.
Kiufupi usimdharau mtu kwa mwonekano wake kwa kujiona una mamlaka kwa kuwasumbua wengine ipo siku yako yatakufika.
Yes , Inawezekana kwa sababu kuu mbili.Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
hilo linajulikana mbona.Hata nchimbi alijiona anafanya kwa niaba ya watz. Kiko wapi?
Au TAL akawa bosi wake kabisaUsije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Au Lissu kuwa mwana CCM na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya mpya ya Kolomije! Huwezi jua bwana!!!Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
HILO "KATUGA" ANALIJUA NDO MAANA ANATANGULIZA HESHIMA NI VILE TU ANATEKELEZA MAJUKUMU YAKE..
Labda siku SIMBA ama YANGA zikiguswa tofauti ndio tutaungana, maana watu kuanzia saa kumi na moja alfajiri ni mjadala wa Simba YANGA Hadi anapolala saa tano usiku.Ni mjinga tu ndiye anayeweza kudhani yuko salama kwenye utawala wa CCM. Nchi ikishakuwa ni inaongozwa kihuni bila kufuata sheria na watu wengi wakakaa kimya kama haiwahusu, basi hakuna aliye salama. Labda watanzania wengi upeo wetu wa kuona mambo kwa kina uko chini (elimu) ndiyo maana tunashangaa. Ukiwa msomaji wa historia za tawala mbalimbali, kuna mifano mingi mno.
Ana point gani pimbi huyo udini tu unamsumbuwa.Sheikh wa Bakwata leo umeongea pointi!
Itafika wakati tu. Tatizo ni kuwa CCM ndiyo inazidi kutengeza jeshi la kuipindua. Mtaani kuna vijana wengi sana ambao hawana cha kupoteza.Labda siku SIMBA ama YANGA zikiguswa tofauti ndio tutaungana, maana watu kuanzia saa kumi na moja alfajiri ni mjadala wa Simba YANGA Hadi anapolala saa tano usiku.
Pamoja na ujahidina wako you are better than mwaipopo.Huwa una hoja usipoegemea kwenye udiniDunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Ni kweli kuna mtu aliamini polepole atasurubiwa na CCMDunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Hata nchimbi alijiona anafanya kwa niaba ya waylhilo swali gani pale unaona yupo mahali gani na anafanya nini kwa niaba ya nani.
Unatetea jambo ili mwenzio anyongwe, halafu unasema heshima?Sanaa ndio maana ameweka heshima mbele mno.
Katuga siku moja nitakuwa wakili wake , Lissu anakua tu kunipa maelekezo kama baba wa sheria .Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana
Je Katuka menyewe anaelewa,wanaomtuma mafisadi yeye digidigi Acha anyone one awajue mafisi na Tania zao!Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia. Haina bwana