Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

Usihadaike kila kitu cha Pi kinafanyika katika App
Screenshot_20211231-004420_Twitter.jpg
 
Uwoga wako kama ulishapigwa Pole ila katika hili hakuna mahali utaibiwa kwani hakuna sehemu ya kuombwa senti kipande wewe ni kuspin token basi mwisho wasiku token zako zitathaminishwa katika digital currency utakuwa na uwezo wa kufanya manunuzi ya aina yoyote au kusafiri ila unatakiwa uwe umejiunga kabla ya uzinduzi Machi mwakani ujiingia ndiyo utajua inavyofanya kazi.
Jamani waacheni hao waliolala usingizi waendelee kulala. Watu wanajitokeza kutoa elimu bure lakini wako watu wanapenda Giza kuliko mwanga. Tuwapuuze tusonge mbele
 
As long as free tujaribuni tu. Wafamaji sisi.

Kuna hii pia inaitwa renec. Kila kitu ni same na pi coin
 
Niombe kusema neno moja kwa sasa kuna vitu avizuhiliki kamwe, moja ya hivyo vitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki, kuna Bitcoin, Ethereal Polkadot, zote hizo ni Crypto digital cash na sasa imekuja Pi Network inakuja kasi kuziangusha zilizopo hivyo.

Kuna hii Pi Network ipokatika hatua za mwisho kuanza kazi lakini hii iko tofauti na mwanzo kwa sasa ina watu karibia milionin 25.

Unachotakiwa nikutengeneza account yako na kila siku baada ya 24hrs unakuwa unabonyeza button ambayo itakuwa inakuingizia point, hizo point zitakuja kuwa token zako ukitaka kununua chochote katika maduka ambayo yamejiunga na Pi Network.

Ukiingia utapata maelezo mengi ila kikubwa jiunge kwanza kwa kufata hii link

Pi Network and use my username (Laureankiiza) as your invitation code.

Ukishindwa kuelewa DM

View attachment 2062214View attachment 2062215

===========UPDATE===========
Soma maelezo
Hivyo usije kudanganyika na website fake kila kitu kinafanyoka katika App.View attachment 2063292

Hii kitu ni nzuri bana sema watu elimu ni ndogo sana hata mimi napenda nijue hii kitu mkuu.
 
Kwa waliojiunga njoo DM tupeane link ya Group la Whatsaap Mimi kama Refarral Team natakiwa kuwajua watu wangu ili kwenye KYC kuna mahali mtahitaji kukutambulisha ndiyo maana kama unakuwa uja Mine mimi naona na ninaweza kukumbusha kwa kutumia PI chat ila mpaka niwe na kujua kuingiza katika hiyo Pi chat.Hivyo tuwasiliane
 
Mkuu hii Pi inategemea kuingia lini sokoni?
 
Kwa waliojiunga njoo DM tupeane link ya Group la Whatsaap Mimi kama Refarral Team natakiwa kuwajua watu wangu ili kwenye KYC kuna mahali mtahitaji kukutambulisha ndiyo maana kama unakuwa uja Mine mimi naona na ninaweza kukumbusha kwa kutumia PI chat ila mpaka niwe na kujua kuingiza katika hiyo Pi chat.Hivyo tuwasiliane
Tuma iyo link hapa mkuu
 
Back
Top Bottom