Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

Jamani waacheni hao waliolala usingizi waendelee kulala. Watu wanajitokeza kutoa elimu bure lakini wako watu wanapenda Giza kuliko mwanga. Tuwapuuze tusonge mbele
 
As long as free tujaribuni tu. Wafamaji sisi.

Kuna hii pia inaitwa renec. Kila kitu ni same na pi coin
 

Hii kitu ni nzuri bana sema watu elimu ni ndogo sana hata mimi napenda nijue hii kitu mkuu.
 
Kwa waliojiunga njoo DM tupeane link ya Group la Whatsaap Mimi kama Refarral Team natakiwa kuwajua watu wangu ili kwenye KYC kuna mahali mtahitaji kukutambulisha ndiyo maana kama unakuwa uja Mine mimi naona na ninaweza kukumbusha kwa kutumia PI chat ila mpaka niwe na kujua kuingiza katika hiyo Pi chat.Hivyo tuwasiliane
 
Mkuu hii Pi inategemea kuingia lini sokoni?
 
Tuma iyo link hapa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…