Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

Mnakumbushwa kufanya uhakiki wa wa account yako kwa kuverify accounts za social media,simu, kuna sehemu ya kufanya check list hakikisha zoezi u melina liza kwa kipindi hiki tunaenda lala salama,pia usisahau kyc ili ni jambo la msingi kabisa hakikisha umefanya Kyc na umefanya PI Immigration nitakwa la lazima, ukikwanba piga simu
 
Tuwasiliane mkuu.
 
Tuwasiliane mkuu
 
 
mkuu wewe ni bonge la optimist-----sijui Pi itaanza na bei gani?
Hakuna ajuaye-----bei ya Bitcoin ilianza chini ya $1 leo tunaongelea $ 100,000
Muda ni mwalimu mzuri,tuendelee kumuomba mungu azidi kutupa subira
 
Bado link hii HAPA
Ambao amjajiunga niwasii sana jiungeni upotezi chochote udaiwi pesa jikusanyie pointi zako zitakufaa baadae na kizazi chako! Niwakumbushe ukijiunga tumia majina yako Halisi kwani kunaverification ya NIDA au Leseni ya Udereva Hivyo usipoteze muda nakama unataka kujiridhisha google kuelewa zaidi au hata huu mtandao wa uwekezaji FORBES Ni mtandao mashuhuri jiridhishe watanzania kuweni na kasumba ya kuamini siyo kila kitu ni upigaji!!Jiunge sasa!
 
mkuu wewe ni bonge la optimist-----sijui Pi itaanza na bei gani?
Hakuna ajuaye-----bei ya Bitcoin ilianza chini ya $1 leo tunaongelea $ 100,000
Muda ni mwalimu mzuri,tuendelee kumuomba mungu azidi kutupa subira
Imeishatangazwa kuwa in First Q 2025 kitu hewani sasa tusubir fumbo la wengi ni wakati Tusikilize hapa Niombe Ndugu yangu Active BlackBold huu uzi utoeni nyuma maana umefichika sana pia naomba kuwa natoa update maana kila siku mambo yanabadilika au tafute jinsi yakuwafanya watanzania wafahamu hizi fuksa ambazo tunaamini ni zaukweli siyo mambo ya upigaji kama DESI au mambo mengine machafu!
 

Waanzilishi, Mtandao Wazi utazinduliwa saa 8 asubuhi UTC mnamo Februari 20, 2025! Pamoja na mamilioni ya Waanzilishi walioidhinishwa na KYC na mfumo ikolojia unaostawi unaoendeshwa na huduma, Open Network inapanua fursa zinazopatikana, ambayo inaruhusu Pioneers kuunganisha Pi na mifumo ya nje kwa matumizi katika programu za ulimwengu halisi kama hapo awali. Hongera jamii nzima kwa juhudi za pamoja na kazi katika kipindi cha miaka 6 ambayo imetuongoza hadi sasa! Nenda kwenye programu ya Pi mining ili usome tangazo rasmi la Open Network kwa maelezo zaidi!
 
Ndugu zangu siyo kila kitu unawaza kuibiwa sasa ona February 20 alhamisi week ijayo watu wataanza kunufaika na Pi Network watu mlikuwa mnabeza sasa ona kila kitu kimekuja kama kilivyotarajiwa! Ila bado aujachelewa jisajiri bure baada ya Open Minenet kuachiwa itakuwa gharama kujiunga maana hakuna atakayekubali kuachia pesa kienyeji!
 
Mimi nimejiunga tangu mwaka juzi na nachimba kila siku lakini niwe mkweli moyo wangu hauwamini kabisa kama itaachiwa February hii😋
 
Mimi nimejiunga tangu mwaka juzi na nachimba kila siku lakini niwe mkweli moyo wangu hauwamini kabisa kama itaachiwa February hii😋
Mi nimejiunga toka 2021 Mwanzoni,lakini naamini itaachiwa naitaanza na Bei ya zaidi ya $100,Inshallah
 
Mi nimejiunga toka 2021 Mwanzoni,lakini naamini itaachiwa naitaanza na Bei ya zaidi ya $100,Inshallah
Msifadhaike hawa watu wamejiandaa kimageuzi isingekuwa rahisi kuinject kiasi kikubwa cha pesa katika project hii ambapo katika nchi za China,Philipine,Malasiya na baadhi ya nchi za Asia GVC wanaendelea na biashara na watu wamewekeza! wewe usiyeamini nikwakuwa aujaweka senti kipande unaona kama hakuna kitu cha bure! ila jitahidi usome WHTE PAPPER ipo katika Home ya App ya Pi
 
We jamaa kama 2021 ulikuwa na pi 1300 bila shaka now unazo hata 7000 kama ikiwa usd 100 tu aisee utakuwa umeaga umasikini.
Mimi nimechelewa sana. Lakini hii kitu iko kama pyaramid scheme kwa kila angle tofauti yake ni kwamba hawakudai ela kujiunga.
Mfano invitation, pili kutumia local commumity kama njia ya kujitangaza naona asia inafanyika sana kwa hii, tatu ni kuweka matangazo kwenye app node wakidai pesa inatumika kulipia gharama wakati project kama hizi watu huwa wanaraise funds.
Sema kwakuwa hakuna cha kupoteza natamani ningeanza chimba mapema huenda now ningekuwa na coins hata 200.
Mwishokwa hii hype huenda waanzilishi ambao wanabaki na coins bilioni mbili kama price ikiwa poa waka zidump na kusepa na really cash.
Halafu sioni watu wa US wakiwa na shobo na hii coin zaidi ni watu asia hasa chian, phillipines, south korea na africa hasa nigeria.
Ila mkuu natumai niliposoma thread yako hii ningechukua hatua kwa sababu I had nothing to lose
 
Msaada tafadhali -Nimejiunga leo , sijiu namna kuvuna point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…