Dunia isifikiri Putin akitoka madarakani kwamba misimamo ya Russia itarudi nyuma

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
636fa443203027593e107ab4.jpg

Kuna mwamba mwingine huyu hapa

Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.

“We are capable of destroying a mighty enemy or alliances of enemies by ourselves,” the former president stated, adding that during its military activities Moscow is seeking to preserve the lives of its soldiers and civilians.

Medvedev wrote that Russia has not yet used “its full arsenal” of weapons and has not struck “all potential enemy targets.” He added that “there is time for everything.”
 
Russia ni panya mdogo sana kwa Nato.

Kwa akili ya kawaida tu, Russia awezi kuishinda UK, au Germany, au France, kwa US hapo ata zije Russia 10 hawawezi kushinda sembuse NATO?

Hapo US alisema sasa napeleka wanajeshi wangu Ukraine utasikia Russia ikisema sijui vikosi vya nuclear vijiandae kushambulia.

Yeye Urusi ipambane na Ukraine aliyoichokoza na aache Maneno maneno
 
Hivi ushawahi kuwekwa kati na vibaka uchochoroni au unabwatuka tu domo kaya wewe
 
Russia ni panya mdogo sana kwa Nato.

Kwa akili ya kawaida tu, Russia awezi kuishinda UK, au Germany, au France, kwa US hapo ata zije Russia 10 hawawezi kushinda sembuse NATO?

Hapo US alisema sasa napeleka wanajeshi wangu Ukraine utasikia Russia ikisema sijui vikosi vya nuclear vijiandae kushambulia.

Yeye Urusi ipambane na Ukraine aliyoichokoza na aache Maneno maneno
Samahani mkuu umeishia darasa la ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2415215
Kuna mwamba mwingine huyu hapa

Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.

“We are capable of destroying a mighty enemy or alliances of enemies by ourselves,” the former president stated, adding that during its military activities Moscow is seeking to preserve the lives of its soldiers and civilians.

Medvedev wrote that Russia has not yet used “its full arsenal” of weapons and has not struck “all potential enemy targets.” He added that “there is time for everything.”

putin the small. wameambulia kifo cha mende, eti oooh 24 hrs wanyoshe mikono UKRAIN wameishia wao, kuweka mikia katika ya miguu na kutimua mbio kama fisi.

putin ajenge uchumi awe na hela ndio angalau atatisha, Nuclear hata Kiduku anazo, hivi wewe hapa bongo raia wa mtaani kuna kitu gani cha Urusi kipo dukani zaidii ya VODKA na Batlika. Poleni sana. Au kuna boda boda made in Russia ????

Huyo Jamaa uliyemposi hapo mnafiki sana,, soma kitabu cha Obama , alikuwea anambembeleza Obama mtoto wake aje US kusoma. we unamwita mamba .

*****************************
Nimeona niendelee kukupa habari za propaganda za akina PUTIN, yaani yule Lavrov binti yake kasoma US na London, na PESKOV mshauri maalum wa PUTIN binti yake hivyo hivyo. mke wake na binti yao nenda insta anaitwa Yelizaveta Peskova angalia anavyokula bata Sweden, Belgium, Paris sasa amelaamika hivyo vikwazo vinamfanya asile bata nchi hizol amlauu sana vikwazo sasa labda aende albania, kahzastan.Korea kaskazinii Venenuela etc amekanda sana.

Sasa wazazi wao akina LAVROV na PESKOV wanavyokanddia US na EU hadharani yaani huwezi amini.

mende 2.jpg
 
putin the small. wameambulia kifo cha mende, eti oooh 24 hrs wanyoshe mikono UKRAIN wameishia wao, kuweka mikia katika ya miguu na kutimua mbio kama fisi.

putin ajenge uchumi awe na hela ndio angalau atatisha, Nuclear hata Kiduku anazo, hivi wewe hapa bongo raia wa mtaani kuna kitu gani cha Urusi kipo dukani zaidii ya VODKA na Batlika. Poleni sana. Au kuna boda boda made in Russia ????

Huyo Jamaa uliyemposi hapo mafiki sana,, soma kitabu cha Obama , alikuwea anambembeleza Obama mtoto wake aje US kusoma. we unamwita mamba .

View attachment 2415242
[emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni kauli ya woga sana sasa kama putin dikteta aliyekubuhu ana withdraw vikosi vyake vitani na kuuliwa wanajeshi wake kama nzige nani atakuwa na ubavu tena kuitikisa NATO ambayo sasa inaelekea kuwa strong zaidi, new countries join in
 
ProRussia mnapenda sana ubabe kama alivyo Putin lakini ubabe wenyewe hamuwezi kwenye field.
Putin alitangaza kuichukua Kyiv baada ya siku 3 akipeleka msafara wa vifaru wa kilometa 64 sijui uliishia wapi.
Baadae akatimuliwa kisiwa cha Snake.
Baadae meli yake ya thamani ya kivita ikazamishwa.
Askari wake mamia ya maelefu wamefariki.
Amepata hasara kubwa ya vifaa vyake vingi vya kivita.
Miji iliyojitangazia annexation Ukraine anairudisha.
Sasa hivi sijui mtakuja na lipi jipya.Tumeshachoka na propaganda zenu za kiduanzi😡
Ubabe mnaouweza ni kwenye maonyesho ya magwaride ya kijeshi na sio kwenye battlefield 🤔
 
Russia ni panya mdogo sana kwa Nato.

Kwa akili ya kawaida tu, Russia awezi kuishinda UK, au Germany, au France, kwa US hapo ata zije Russia 10 hawawezi kushinda sembuse NATO?

Hapo US alisema sasa napeleka wanajeshi wangu Ukraine utasikia Russia ikisema sijui vikosi vya nuclear vijiandae kushambulia.

Yeye Urusi ipambane na Ukraine aliyoichokoza na aache Maneno maneno
Mdogo wangu pole sana shida ni shule ndogo
 
Back
Top Bottom