Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Mjinga ni mjinga tu haijarishi ana rangi gani.Trump naye amegeuka Limbukeni Wa Madaraka kama hii Mitakataka tuliyonayo huku bara Jeusi.
Mjinga ni mjinga tu haijarishi ana rangi gani.Trump naye amegeuka Limbukeni Wa Madaraka kama hii Mitakataka tuliyonayo huku bara Jeusi.
Nani kakudanganya!?USA hakuna msitu
hayakaa kimya hujui dunia inavyokwenda ndugu
Alipewa sababu bado awajawa tayari kuongozwa na kina mamaNdo matokeo ya kumpa mcheza mieleka nchi. Huyo Trump ni muhuni tu! wazungu nao sometimes wanakuaga hawana akili
Hapo kuna demokrasia ya hali ya juu.Hivi Tanzania unaruhusiwa kuandamana sembuse kuingia bungeni?vMarekani yeye anasema wenzake wasibinye democracy.
Lakini wao pia wanabinya democracy vilevile.
Now na wao wameonyesha udhaifu wao waliokuwa wanaouficha.
Still kuna watu Africans wanadhani wazungu wote ni demigods.
Walichotuzidi ni wao kuanza kujitambua na kufikiria nje ya box sio wazungu wote lakini tuseme 10 percent ndio waliofanya yote.
Ona sasa wanavyojitia aibu hii inaonyesha africans tunaweza kudevelop kushinda wao.
Wewe acha uzwa zwa demokrasia ya marekani inekomaa sana.Watu wametunia uhuru wao wa kuandamana japo wamevuka mipaka kidogo lakini hawajavunjwa miguu au kuawawa kama Afrika.Pili rais aliyepo madarakani ametumia kila mbinu kutumia madaraka yake vibaya lakini mifumo imemgomea,watu wanamwambia kweli hilo haliwezekani mzee.Wewe umeona wapi hiyo duniani.Na rais mpya anakuja.Marekani yeye anasema wenzake wasibinye democracy.
Lakini wao pia wanabinya democracy vilevile.
Now na wao wameonyesha udhaifu wao waliokuwa wanaouficha.
Still kuna watu Africans wanadhani wazungu wote ni demigods.
Walichotuzidi ni wao kuanza kujitambua na kufikiria nje ya box sio wazungu wote lakini tuseme 10 percent ndio waliofanya yote.
Ona sasa wanavyojitia aibu hii inaonyesha africans tunaweza kudevelop kushinda wao.
Yeah as always muafrika ni kawaida yake kujishusha mbele ya mweupe.Hapo kuna demokrasia ya hali ya juu.Hivi Tanzania unaruhusiwa kuandamana sembuse kuingia bungeni?v
Huwezi kujifananisha na wazungu, uko mbali sana kama mbingu na ardhi, sina hakika kama muafrika mweusi atakuja fikia kiwango cha mzungu ktk kila nyanja.
Sisi tunafuga madikteta wenzetu huwaondosha Mara moja.
Yeah about that!!Wewe acha uzwa zwa demokrasia ya marekani inekomaa sana.Watu wametunia uhuru wao wa kuandamana japo wamevuka mipaka kidogo lakini hawajavunjwa miguu au kuawawa kama Afrika.Pili rais aliyepo madarakani ametumia kila mbinu kutumia madaraka yake vibaya lakini mifumo imemgomea,watu wanamwambia kweli hilo haliwezekani mzee.Wewe umeona wapi hiyo duniani.Na rais mpya anakuja.
Tuna kitu kikubwa sana cha kujifunza toka marekani.Wako mbali mno kidemokrasia
Mpaka Sasa Hajavunja Katiba lakinTrump naye amegeuka Limbukeni Wa Madaraka kama hii Mitakataka tuliyonayo huku bara Jeusi.