Dunia itakuwaje ikiwa Trump akiingia msituni kwa kutokubaliana na mambo yanayotokea Marekani?

TRUMP NI MPUUZI SANA ANATAKA KUHARIBU SIFA NZURI YA TAIFA HILI STUPID EVER
 
Kwa taifa kubwa kama USA kuwa na matukio ya uvunjaji wa amani wa jinsi hii ni aibu sana...
 
Trump Ni kichaa marekani walipatikana kweli [emoji1]
 
Hawezifanikiwa kule sio afrika.
Kitakachofanyika ni mifumo yote ya kiungozi itajitenga nae.
Mfano air force one haikutambui, ulinzi wa rais haikutambui ,ofisi ya rais haikutambui, Senate haikutambui, bunge halikutambui,nk unabakia kuwa raisi wa wafuasi wako na sio wa nchi.
 
Kwa Uchambuzi kutoka Kwake Dkt. Buberwa Bandiho aliyeko huko Marekani hakuna ambacho Trump atakibadili na Joe Biden ndiyo Rais wa USA.
 
Hapo kuna demokrasia ya hali ya juu.Hivi Tanzania unaruhusiwa kuandamana sembuse kuingia bungeni?v
Huwezi kujifananisha na wazungu, uko mbali sana kama mbingu na ardhi, sina hakika kama muafrika mweusi atakuja fikia kiwango cha mzungu ktk kila nyanja.
Sisi tunafuga madikteta wenzetu huwaondosha Mara moja.
 
Wewe acha uzwa zwa demokrasia ya marekani inekomaa sana.Watu wametunia uhuru wao wa kuandamana japo wamevuka mipaka kidogo lakini hawajavunjwa miguu au kuawawa kama Afrika.Pili rais aliyepo madarakani ametumia kila mbinu kutumia madaraka yake vibaya lakini mifumo imemgomea,watu wanamwambia kweli hilo haliwezekani mzee.Wewe umeona wapi hiyo duniani.Na rais mpya anakuja.
Tuna kitu kikubwa sana cha kujifunza toka marekani.Wako mbali mno kidemokrasia
 
Yeah as always muafrika ni kawaida yake kujishusha mbele ya mweupe.

Lakini sio mwafrika mimi.
Afrika inaweza kuwa na maendeleo au zaidi yao.
 
Yeah about that!!

Kwanini wewe umeshindwa kuandamana?
 
Sanasana anaweza kushtakiwa tu huyu Trump baada ya tarehe 20 Jan. Kule hakuna janjajanja wala hakuna ‘msitu’ wa kwenda kupanga vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…