Dunia itasimama kwa muda usiku wa jumamosi hii.

Dunia itasimama kwa muda usiku wa jumamosi hii.

Usiongee hivyo mbele za watu ,watakucheka.

Katika mapambano yalikuwa rahisi zaidi kwa Floyd, basi hili la Floyd na Canelo linaongoza.
Maywether alitolewa jasho na Yuda, Mosley na Maidana. Pambano lake na Canelo, lilikuwa rahisi maana Canelo alikuwa bado, kulinganisha na ubora aliokuwa nao Floyd.

Pamoja na hayo Canelo kashinda leo kwa points baada ya kuzichapa kwa round 12.
 
Back
Top Bottom