Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu.
Dunia itatushangaa sana..