Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya chuma Chakavu ipigwe marufukuKuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu.
Dunia itatushangaa sana..
Ongeeni na hao wafadhali wa chama chenu ambao wengi ndio wameathirika na biashara yao ya mabasi na wengine kati hao ni makada watiifuKuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu.
Dunia itatushangaa sana..
Unawajuwa watu wa vyuma chakavu kweli...hawashindwi kituhii miundo mbinu madhubuti sidhani kama watu wa chuma chakavu wanahusika, yaani wangoe reli auze chuma chakavu, au wachukue mataaluma wabomoe zege watoe nondo zilizomo? au wafungue nguzo za umeme? hujuma either iwe tanesco au reli wenyewe, tukishika mmoja tutoe fundisho kwa wengine
Dunia ilishatushangaa siku nyingi kwa mambo na miradi lukuki tuliyoshindwa kuisimamia. Nitatoa mifano baadaeKuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu.
Dunia itatushangaa sana..
Hawa wakikamatwa wawekwe mahali ni kuchapwa fimbo wiki nzima halafu waachiwe waende majumbani kwao.Ukiziangalia hizi picha, unaona kabisa kuna haja hawa watu wasiwe wanafikishwa mahakamani. Adhabu zitolewe waziwazi ambapo itatoa funzo kwa ambae anafikiria kuyafanya haya yaliyofanyika. Sisi watu weusi tunalaana sana.
Kuna watu Toka Mradi unaanza walikuwa hawaishi kusema kuwa haya ni maendeleo ya vitu na si ya watu na wengine wakiita hii ni white elephant project haitaleta tija. Sasa wanajitahidi kuhakikisha uongo wao unakuwa ukweli kwa mbinu hizi chafu!!! Wenye sane nafsi zinawasuta kwa waliyowaza na kutenda!Dunia imeshatungaa mpaka imehitimisha kwamba ndivyo tulivyo. Inasikitisha sana kuona taifa lenye watu wasomi na hadhi wakifanya vituko vya karne.
Tunajenga wenyewe, halafu tunajiibia wenyewe! Kuna kitu lazima hakiko sawa mahali fulani.
Nani alaumiwe - serikali, raia, au serikali na raia kwa pamoja? Au asilaumiwe kabisa mtu yeyote?
Waliokuwa wakiupinga ndio wamejazana humo ndani. Wakijipiga selfie.Kuna watu Toka Mradi unaanza walikuwa hawaishi kusema kuwa haya ni maendeleo ya vitu na si ya watu na wengine wakiita hii ni white elephant project haitaleta tija. Sasa wanajitahidi kuhakikisha uongo wao unakuwa ukweli kwa mbinu hizi chafu!!! Wenye sane nafsi zinawasuta kwa waliyowaza na kutenda!
We nae wacha kutetea hizo kabachoriSiyo wahindi.
Wenye biashara zinazo ingiliana na hii wengi ni watanzania wabantu wenzetu na watanzania waarabu wachache.