Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachuki Sana, huwez kuelewa siasa za Hii duniaWananchi wa walioungana na talban ni kina nani hao?
Hawa waliojazana airport ya kabul na mpaka wa pakstani wakiitaka kukimbia nchi yao?
Unachuki Sana, huwez kuelewa siasa za Hii dunia
Naona kuna term inawataka taliban kuwadhibiti al qaeda katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wao.Ndo hivyo tena.Wamefanya makubaliano ya amani.Marekani anajitoa anamwachia Taliban.
... deen ya kweli, ya haki, ya amani wanaijua Taleban peke yao? Deen ya aina hiyo inawatuma Taleban kukataza wanawake kufanya kazi? Mataifa mengine yote duniani hayaijui deen ya haki isipokuwa Taleban? Acha kutetea ujinga.Deen ya Kweli,Dini ya haki,Deen ya amani
Mnataka watu wote wawe wasenge kama nyinyi waowane jinsia moja na kufirana, huo ujinga haiwezekani... deen ya kweli, ya haki, ya amani wanaijua Taleban peke yao? Deen ya aina hiyo inawatuma Taleban kukataza wanawake kufanya kazi? Mataifa mengine yote duniani hayaijui deen ya haki isipokuwa Taleban? Acha kutetea ujinga.
broo mm ni muislam ila taliban nawachukia.Na mtaumia sana ndio ishakua hivyo, wenye nchi washachukua nchi yao pyeeeeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Hiyo ni vita ya waarabu na ndugu zao,hatuwezi kuwapambania,hatuwezi kuendelea kumwaga damu ya vijana wetu(USA),kwa ajiri yao,wao wenyewe wamekimbia nchi!sie tufanyeje?Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi
N
Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini pakstani amekemea vikali huu upuuzi wa watu wasiostaarabika kuanzia akili mpaka mazingira yao
Nasikitika sana mataifa makubwa km USA na Uk na Russia wanazungumzia kuondoa raia wao tu lkn hawayakemei haya magaidi ya talban
Kwa siku ya jana tu toka magaidi yateke ikulu kumeanza kuripotiwa uvunjifu wa haki za bunadamu km mauaji ya kulipiza kusasi nk
Km mbakumbuka kipindi haya majamaa yalipokuwa yakitawala serkali zote duniani ziliyakata a isipokua nchi moja au mbili za kiarabu zisizostaarabika
Yalikuwa yamekataza watoto wa kike kusoma,yalikataza kuangalia tv na cinema imagine hawa magaidi wanata nn
Hawa wajinga wanapigana wamevaa makobas bado tunawachekea eti wanapigania dini
What a shame dunia inaelekea wapi?
Umoja wa Afrika inatakiwa itoe statement ya kutoitambua hii Serikali ya magaidi
Sasa mkuu itabidi ukajinyonge tu...Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi
Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini pakstani amekemea vikali huu upuuzi wa watu wasiostaarabika kuanzia akili mpaka mazingira yao
Nasikitika sana mataifa makubwa km USA na UK na Russia wanazungumzia kuondoa raia wao tu lkn hawayakemei haya magaidi ya talban
Kwa siku ya jana tu toka magaidi yateke ikulu kumeanza kuripotiwa uvunjifu wa haki za bunadamu km mauaji ya kulipiza kusasi nk
Km mbakumbuka kipindi haya majamaa yalipokuwa yakitawala serkali zote duniani ziliyakata a isipokua nchi moja au mbili za kiarabu zisizostaarabika.
Yalikuwa yamekataza watoto wa kike kusoma,yalikataza kuangalia tv na cinema imagine hawa magaidi wanata nn
Hawa wajinga wanapigana wamevaa makobas bado tunawachekea eti wanapigania dini
What a shame dunia inaelekea wapi?
Umoja wa Afrika inatakiwa itoe statement ya kutoitambua hii Serikali ya magaidi.
Pole! [emoji23][emoji23][emoji23]Haya magaidi kichwan mwao nadhani ni kamasi na kukariri kile kitabu kimeaathiri mfumo wa ubongo
[emoji23][emoji23][emoji1787]Ile nchi ni failed state mkuu wanajeshi wengi walikuwa mamluki wa taliban ndio maana mkuu wa jeshi alifutwa kazi
We huna akili kabisa mbona miaka 20 iliyo pita hao Taliban nao walitolewa ikuluNashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi
Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini pakstani amekemea vikali huu upuuzi wa watu wasiostaarabika kuanzia akili mpaka mazingira yao
Nasikitika sana mataifa makubwa km USA na UK na Russia wanazungumzia kuondoa raia wao tu lkn hawayakemei haya magaidi ya talban
Kwa siku ya jana tu toka magaidi yateke ikulu kumeanza kuripotiwa uvunjifu wa haki za bunadamu km mauaji ya kulipiza kusasi nk
Km mbakumbuka kipindi haya majamaa yalipokuwa yakitawala serkali zote duniani ziliyakata a isipokua nchi moja au mbili za kiarabu zisizostaarabika.
Yalikuwa yamekataza watoto wa kike kusoma,yalikataza kuangalia tv na cinema imagine hawa magaidi wanata nn
Hawa wajinga wanapigana wamevaa makobas bado tunawachekea eti wanapigania dini
What a shame dunia inaelekea wapi?
Umoja wa Afrika inatakiwa itoe statement ya kutoitambua hii Serikali ya magaidi.
Nyengine ni propaganda tu coz most of media zinafhibitiwa na westerns, hii dunia kuna mambo mengi sana ambayo ni uwongo mtupu, niliona kuna documentary moja ambayo CIA anakiri kuwa moja ya vitu ambavyo wanafundishwa ni UONGO ndio unakuta nchi kama Iraq ilisingiziwa kuwa na silaha za sumu na ikavamiwa na maelfu ya watu kuuwawa na wengine kupotezwa wengine kuwa wakimbizi but lengo la kuivamia nchi ile ilikua ni Dini yao na Oilbroo mm ni muislam ila taliban nawachukia.
Dunia ilifaa kuungana kuwaua hawa taliban.
maana dini yetu haijafundisha na hairuhusu ujinga kama wanaofanya wao.
eti umkataze mwanamke kusoma eti umkataze mwanamke kufanya kazi.
kisheria ya dini anaepaswa kumkataza mwanamke asifanye kazi ni mumewe na tena awe na sababu zinazompelekea kumkataza mke asifanye kazi.
TALIBAN MAGAIDI TU NA NAOMBA MUNGU AFRIKA IUNGANE KUTOKUITAMBUA SERIKALI YAO.
Mpuuzi ww watu wanataka nchi yao wajitawale ww unaongea pumba hapa"Hiyo ni vita ya waarabu na ndugu zao,hatuwezi kuwapambania,hatuwezi kuendelea kumwaga damu ya vijana wetu(USA),kwa ajiri yao,wao wenyewe wamekimbia nchi!sie tufanyeje?
Wapinzani wetu,Russia&China wangependa tuendelee kuwa kwenye vita isiyoisha,sie hatutaki Hilo.
Kama ni kupambana na magaidi,tunaweza kuendelea na operation zetu kama tunavyofanya kwenye nchi zingine,sio lazima tuwe na majeshi kwenye nchi hizo,tunapambana na ugaidi,somalia,Syria,Pakistan,lakini hatuna majeshi huko,mission yetu haikuwa "nation building"ilikuwa kupambana na magaidi wa Alqaida,na Osama,na tulikamilisha Hilo miaka kumi iliyopita"Maneno ya Biden,US presidaa
basi mkuu wacha tuchunguze na tudadavue zaidNyengine ni propaganda tu coz most of media zinafhibitiwa na westerns, hii dunia kuna mambo mengi sana ambayo ni uwongo mtupu, niliona kuna documentary moja ambayo CIA anakiri kuwa moja ya vitu ambavyo wanafundishwa ni UONGO ndio unakuta nchi kama Iraq ilisingiziwa kuwa na silaha za sumu na ikavamiwa na maelfu ya watu kuuwawa na wengine kupotezwa wengine kuwa wakimbizi but lengo la kuivamia nchi ile ilikua ni Dini yao na Oil
Usione wale wote waliopelekwa guatanamo wanamakosa na ww ukaamini hivyo, kuna watu wengi walioteswa mle wameteswa bila ya makosa na documetary zipo ukienda YouTube, kuna askari wa marekani waliacha kazi baada ya kugundua kuwa wametesa watu sana bure na wanajutia mambo hayo
Mkuu usiamini kila unachosikia na kuambiwa
Je vipi Libya democracy ipo mpaka leo tokea ivamiwe?
Je walibya wanafurahiswa na Life yao sasaivi?
[emoji23][emoji23][emoji23] reply nyingine banaUmewaza kisabayasabaya
Hilo ndilo unawaza tu, watu wengine sijui mmejaza nin vichwan kwenu mbadala wa ubongoMnataka watu wote wawe wasenge kama nyinyi waowane jinsia moja na kufirana, huo ujinga haiwezekani