Dunia na universe kabla ya ujio wa wanadamu na maisha yalikuwaje kwa ufupi

Una imagination nzuri ila fanya angalau research ya topic unayotoa,
Kiaje mwezi unaweza kutumika kusambaza internet, au mwenzi ni mashine, sawa mwezi unaitwa artificial satelite lakini sidhani kama unaweza kusambaza internet, labda unasema waliweka vifaa mwezini.
Hilo la kutengeneza sayari sijui, ndio black hole inazalisha energy [ planck energy] zaidi ya jua na nahisi type 3 civilization wanaweza kutumia hyo energy kufanya mambo makubwa lakini siyo kuunda planet from scratch labda kutravel galaxy, kutengeneza portals ila sidhani kama wanaweza tengeneza planet
 
Ukifika mda utaelewa hata yule Padri wa genetics watu walimpinga ila baada ya kufa na kupita miaka 10 walifanyia kazi wazo lake mpaka leo tunafanya sequence chanzo ni yule mzee ambaaye alipingwa vikali sana
 
Back
Top Bottom