ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Maisha ya hapa Duniani Ni Kama vile Kuna mashine fulani tunaingia na kusagwa mmoja mmoja au tufanye Kama Ni samaki unamtega unamvua anakuangalia tu unampika bado tu anakutolea macho ndio kifo kipo hivohivo yaani kikiwa kinakuchukua inakubidi kutulia ukisema ulete mawenge utaumia Sana kwani tukio la roho kutoka linahitaji uwe umetulia japo natambua roho kutoka Ni ngumu Sana ila acha asili ichukue nafasi yake.
Habari ya kushangaza na kusikitisha Zaidi Kama kweli Kuna siku ya kiama Basi asilimia 70 ya vifo vya watu vitakuwa chanzo chake Ni binadamu wenzao.yaani kwa ufupi watu wengi Sana wanauliwa na watu wenzao rejea katika vita,biashara ya chemical na bidhaa zenye madhara,mauaji,magonjwa mengi mno yanasababishwa na watu kuwa na lifestyle ambayo wameikuta na ipo Kama biashara za wengine..watakaokufa/wanaokufa vifo vya asili Kwa mfano uzee hawazidi asilimia 20.nawasilisha