Mzee Mapenzi
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 122
- 439
Hapa kwetu uswahilini, tumeamka na tifu la kufa kuku na vifaranga wake.
Mtoto wa kiume ambae tulihisi tangu mwanzo ya kuwa ni kachumbari ya makafiri, anashikana nguo na mama yake mzazi kisa kibwana ambacho kina umri sawa na hii delicious, ila mama nae anapigwa mikwaju ya nguoni na hiki kijamaa huku kinamkula na kijana mwenzie.
Leo delicious kaamua kumtolea uvivu mama ake baada ya kuvumilia na kushindwa huku akitoa lawama kwa kibenteni kuwa alimwambia mtaro atamfukua yeye na mama ake atamchimba kawaida ila amefuatilia na kugundua mama yake nae analiwa biriani na kijamaa.
Asalaleee!
Uswahilini kunanoga ila sio kwa kutiana gundu ahsubuhi hii jamani, wengine tumekopa pesa za watu tunawakwepaga ahsubuh kwa kudamka ila sasa ugomvi huu utasababisha tukutane na wanaotudai!
Duh Dunia simama nishuke, yani mtoto wa kiume unagombania dudu na mama yako mzazi?
Bora nirudi kwetu Mkundubaro niepuke fedheha za hawa wanaume wa Dar