D
Deleted member 485868
Guest
VyoteWe una tako au digrii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VyoteWe una tako au digrii?
Una bahati na lina heri tumbo lililokuzaaVyote
AmeenUna bahati na lina heri tumbo lililokuzaa
Ahsante shemeji
Hii ndiyo sababu nikashauri huu uzi uwe Jukwaa la Siasa walau Jaji mstaafu apate faraja la kofi.
mzee huyoHuwa simwelewi kabisa bujibuji, sijui ni kijana, wa makamo au mzee.
Hatari sana Sheikhwewe demu na digrii yako alafu una kitambi kikuubwa baada ya kuwa na tako,, basi kaongeze digrii ya pili mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini upo obsessed na matako? Ulifungua hadi id ya kike ili uzungumzie matako yako makubwa.
Kuna shida gani hapa?