Dunia sio mahali salama

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kuna fukuto kubwa la kutoweka Amani duniani. Vita na tetesi za Vita zimetamapakaa duniani.

Eneo la mashariki ya kati ni la moto. Kila taifa sasahivi linajiimarisha kiulinzi. Dunia inapitia kipindi kigumu sana. Kila kukicha kuna tukio la habari mbaya.

Dunia haitapata Amani tena. Uchumi wa dunia umeharibika. Kila mahali umaskini na kupanda kwa gharama za maisha kunaongezeka. Viongozi wa dunia sio Wacha Mungu tena.

NOTE: Kuweni makini, hii dunia imeondoka. Mtafuteni Mungu kabla Mambo hayajaharibika sana. Maasi yameongezeka sana.
 
😂Kila siku wanasema dunia inaisha afu huyo mtu anakula ugali na kulala kwa shemeji yake
 
Hakuna wakati vita vimewahi kuisha duniani, ila vimepungua kwa kiwango kikubwa sana, pia umaskini umepungua kwa kiwango kikubwa sana kwa kadri ya muda ambavyo umekuwa ukiendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…