Dunia uwanja wa vita

Dunia uwanja wa vita

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Kiukweli wanadamu tumekuwa na roho mbaya sana. Dunia tunapita tu, Ila Kuna watu Wana roho mbaya hakuna mfano. Hivi ukimfanyia mwenzio roho mbaya unapata faida gani, ukimchafua mwenzio unapata faida gani.

Kwa maana wanadumu kusudio letu la kuwa Duniani ni kumwabudu Mungu, mengine yote ni subsidiaries tu ambazo hazitupeleki popote
Tuache roho mbaya
 
Back
Top Bottom