Dunia ya Karne ya 21st

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
103
Reaction score
209
Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba"
Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida,

Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona Watoto Ndio ujanja

Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli,Ulevi, Na kutoa Mimba Ndio kwenda na wakati,

Si wazazi,Si wazee,Si jamii,Si Serikali Hakuna akumbukae kupuliza Tarumbeta la Maadili kila mtu yupo busy na nini kitatrend"Vijana wanatia Huruma,Wazee wanatia Simanzi,

Uelekeo wa Dunia unasikitisha na kutafakarisha sana,Dunia Hii ya sasa sio sehemu Salama tena ya kukimbilia Bali imekuwa sehemu Hatari sana ya kuikimbia,

Wazazi,Walezi,Jamii na Serikali Nawakumbusha tu Majuto Ni Mjukuu na Mahakimu wa Maisha yetu ni sisi wenyewe".

#VoiceForMoralChanges
#StoryForChange
 
wanaume wanaolewa, wanawake wanaoa huku viungo bandia (dolls) zikitumika kuonesha uanaume wao!!!😕😕😕😕

bonge la ujumbe.......suluhisho ni kujinyima matamanio ya moyo tu na kusimama, kwa nguvu zote, na Mungu.
 
Hakuna jipya chini ya jua kijana zinaaa zipo long time ,kumbuka sodoma na Gomorrah.
Na kuhusu watu kuvaa nusu uchi ni vizuri Sana maana wanaludi kwenye asili yao kumbuka Adam na Eva walikua hawavai nguo Bora Hawa wanavaa nusu uchi.

Mhimu tafuta hela ule maisha uzeeke ufe hii Dunia haiishi Leo Wala kesho .
 
Yote hayo ni ubatili chini ya jua, ishi kisha ufe uende zako.
 
Kumtukàna mtu mzima inategemea
 
Na kwa karne hii hata UZI huu wataukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…