Hamissi Hamza Jr
Senior Member
- Apr 16, 2020
- 103
- 209
Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba"
Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida,
Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona Watoto Ndio ujanja
Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli,Ulevi, Na kutoa Mimba Ndio kwenda na wakati,
Si wazazi,Si wazee,Si jamii,Si Serikali Hakuna akumbukae kupuliza Tarumbeta la Maadili kila mtu yupo busy na nini kitatrend"Vijana wanatia Huruma,Wazee wanatia Simanzi,
Uelekeo wa Dunia unasikitisha na kutafakarisha sana,Dunia Hii ya sasa sio sehemu Salama tena ya kukimbilia Bali imekuwa sehemu Hatari sana ya kuikimbia,
Wazazi,Walezi,Jamii na Serikali Nawakumbusha tu Majuto Ni Mjukuu na Mahakimu wa Maisha yetu ni sisi wenyewe".
#VoiceForMoralChanges
#StoryForChange