Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Kwanza huwezi kulinganisha grades bila kuangalia supply ya maswali kwenye mitihani, hili lipo technical sana ila naamini utakuwa umenielewa.
Halafu pia, F huashiria FAILURE kama ilivo ainishwa hapo, ni hivi, 50 kwenye mtihani wenye marks 100 haiwezi kuwa counted F kwa viwango vya kawaida (Standard), 50/100 means half cooked, kitaalamu inaitwa Diploma, so nini kinaendelea wapo?
Huenda basi, kwenye marks 100 mtihani ukawa 20% theoritical the less practical, na wanafahamu kama wanafunzi wapo 100% facilitated, sisi bongo wanachofanya wenzetu kwenye theory na practical sisi tunafanya kwenye paper tu [emoji16]
Pili, hata hapa TZ, kuna baadhi ya shule ushindani wa grades za wanafunzi shuleni unashindanishwa kipekee sana tofauti na shule nyingine.