Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha mahusiano ya kidiplomasia na Israel.
Mathalan Gustavo Petro rais wa Colombia amemtaka balozi wa Israel aondoke Colombia na akidai kuwa Israel inachokifanya dhidi ya Palestina ni sawa na utawala wa Nazi Germany.
Big names zingine kama Clare Short (waziri Wa maendeleo ya kimataifa wa zamani wa Uingereza) Jeffrey Sachs(USA political analyst) na Jin Ping wakisema kuwa Dunia isisahau chanzo kikuu ni unyang'anyi wa ardhi was Israel na kuiwekea kibano Cha maji,anga na mipaka Gaza na kutoitambua Palestine kama taifa huru na kisipotatuliwa kamwe Israel haiwezi kuwa na amani maana hata wapelestina wamenyimwa amani.
Huku Afrika mataifa ya Afrika magharibi mathalani Mali wanawataka UN wafungashe virago waondoke huku majirani zao wakiendelea na mkakati huohuo was kuwataka UN waondoke.
Je hili ndiyo anguko la UN na UN kuonekana ni chombo Cha kimataifa butu?!
Vyanzo; CGTN, BBC, ALJAZEERA.
Sina haja ya kuweka video tafuteni hayo majina Kesha mtapata walichosema.