Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

Chanzo cha hamasi kuvamia Israel mara kwa mara unakujua lakini,huwez kumlaum mtu anayepigania haki yake baana ya kuporwa
 
Pia Wacha nikuongezee maarifa.
MWAKA 1947 PALESTINA IKIWA CHINI YA UINGEREZA ILIGEWA SHARTI YA KUPEWA UHURU KWA KUMKUBALI ISRAEL NA KUMMEGEA ARDHI NA KUITAMBUA ISRAEL KAMA TAIFA.
PALESTINA IKAFANYA HIVYO ILA EU NA USA ILIKATAA KUITAMBUA PALESTINA KAMA TAIFA HURU.
GAZA IKAWEKEWA UKUTA IKANYIMWA HAKI YA KUMILIKI UWANJA WA NDEGE HAKI YA KUMILIKI MPAKA WA MAJI NA HAKI YA KUMILIKI MPAKA WA ARDHI.
KATAFUTE RAMANI YA PALESTINA NA ISRAEL YA 1947,1948,1967 NA 2006.
NDIO URUDI HAPA TUBISHANE USINIJIE UKIWA NA ELIMU FINYU
 
Hao watoto unaowazungumzia waliokamatwa na IDF ni magaidi vile vile.... Mtoto wa kiongozi wa kundi la Hamas alielezea jinsi hao magaidi wanavyochukua watoto wa miaka 5 na kuwafanya magaidi na kuwafundisha silaha huko misikitini na kuwapandikiza chuki. Tizama hapo, unatetea ugaidi wakati hata mtoto wa Boss wa hamas kasema Hamas ni magaidu

View: https://youtu.be/pLdjJXtwSzA
 
Pole sana .
Political organization inayo access ya kuwa na military power kama hilo haulifahamu.
Pia fuatilia PLO kabla haijabadilishwa kuwa Hamas ilifanya majadiliano mangapi ya kisiasa ili Palestina ikubalike kuwa taifa huru.
Ndio maana nakusisitiza fuatilia chanzo tokea 1947.
Halafu pia siasa ni kitu kinachojumuisha utawala kulingana na sera tofauti tofauti.
Ukija katika masuala ya kuongea hapo unaleta suala la kidiplomasia.
Na siasa sio diplomasia pekeake.
Siasa huwa na approach tofauti Ili kufikia lengo la kusimamisha utawala.
 
UNAZUNGUKA PALEPALE.
WACHA NIKUONGEZE ELIMU.
KIPINDI PALESTINA INAONGOZWA NA PLO ILI KUTAKA PALESTINA ITAMBULIKE KAMA TAIFA HURU ISRAEL ILIA ZISHA VITA SYRIA,EGYPT,LEBANON NA JORDAN NA KUTEKA MAENEO TOFAUTI TOFAUTI.
UNA UELEWA FINYU KATIKA HILI JAMBO
 
Wewe ndio hujui chochote... Tangu Israel anapewa ardhi yao, wapalestina na waarabu hawakukubali muisrael arudi Palestina. Ndio maana baada tu ya Israel kupata uhuru waarabu wote waliungana na kumvamia kijeshi Israel aondoke lakini walipokea kichapo kitakatifu... Nenda katafute Israel-arab war of 1948...

Mpalestina hajawai kukubali Israeli akae pale tangu kipindi cha Adolf Hitler
 
Unamjua huyu vizuri? Soma historia yake ni spy wa israel kutoka shin bet na baada ya kushtukiwa akakimbilia marekani hadi sasa anaishi marekani, alipandikizwa na mossad ndani ya hamas kitabu chake ndio kinaitwa son of hamas
 
UNAZUNGUKA PALEPALE.
WACHA NIKUONGEZE ELIMU.
KIPINDI PALESTINA INAONGOZWA NA PLO ILI KUTAKA PALESTINA ITAMBULIKE KAMA TAIFA HURU ISRAEL ILIA ZISHA VITA SYRIA,EGYPT,LEBANON NA JORDAN NA KUTEKA MAENEO TOFAUTI TOFAUTI.
UNA UELEWA FINYU KATIKA HILI JAMBO
Dogo acha kamba bwana... HISTORIA iko wazi... Siku moja baada ya Israel kupata uhuru alivamiwa na Nchi za uarabuni wakataka wamuondoe, lakini wakapokea kichapo... Na kisha Israeli akachukua eneo la Sinai, ila badae alirudisha eneo hilo
 
Unamezeshwa vita unakuja kuzijadili hapa .
1948 Israel imeanzisha Zionism movement ya kuipanua Israel kijana.
Kasome urudi hapa
 
UNAZUNGUKA PALEPALE.
WACHA NIKUONGEZE ELIMU.
KIPINDI PALESTINA INAONGOZWA NA PLO ILI KUTAKA PALESTINA ITAMBULIKE KAMA TAIFA HURU ISRAEL ILIA ZISHA VITA SYRIA,EGYPT,LEBANON NA JORDAN NA KUTEKA MAENEO TOFAUTI TOFAUTI.
UNA UELEWA FINYU KATIKA HILI JAMBO
Kwanza kihistoria na kiasili hilo ni eneo la wayahudi... Waarabu ndio wavamizi, wamevamia mpaka Afrika ambayo kiasili sio eneo lao, hiyo Africa kaskazini yote ni eneo la waafrika ila waarabu waliiba Maeneo hayo
 
Dogo acha kamba bwana... HISTORIA iko wazi... Siku moja baada ya Israel kupata uhuru alivamiwa na Nchi za uarabuni wakataka wamuondoe, lakini wakapokea kichapo... Na kisha Israeli akachukua eneo la Sinai, ila badae alirudisha eneo hilo
Mimi na ww nani dogo.
Unaniletea zile story zenu za six days war Israel kupiga mataifa yote ya kiarabu????
Kaichambue ZIONISM MOVEMENT YA 1948
 
Tuweke rekodi sawa, dunia inaungana na Wapalestina siyo Hamas.

Hamas ni wanamgambo wachache tu.
 
Kwanza kihistoria na kiasili hilo ni eneo la wayahudi... Waarabu ndio wavamizi, wamevamia mpaka Afrika ambayo kiasili sio eneo lao, hiyo Africa kaskazini yote ni eneo la waafrika ila waarabu waliiba Maeneo hayo
UGIRIKI ILIVAMIWA NA OTTOMAN EMPIRE(TURKIYE) IKAPORWA BURSA,IZNIK NA CONSTANTINOPLE(ISTANBUL)
JE NAYO GREEK IANZISHE VITA DHIDI YA TURKIYE??
USA ILE INA MASALIA YA WAINGEREZA WALIOITAWALA AMERIKA TOKA 1300 MPK 1667 KAMA SIJAKOSEA IKIFUKUZA CAUCASIANS NA RED HINDIS KUSINI MWA AMERIKA JE NAO CAUCASIAN WAANZISHE VITA???
MBONA UNA AKILI NDOGO SANA
 
Kwanza kihistoria na kiasili hilo ni eneo la wayahudi... Waarabu ndio wavamizi, wamevamia mpaka Afrika ambayo kiasili sio eneo lao, hiyo Africa kaskazini yote ni eneo la waafrika ila waarabu waliiba Maeneo hayo
Pia kawasome waphilisti
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hamas ni mbadala wa PLO inayotetea Hakim za wapalestina ndio maana nikaweka Hamas directly
Hivy9 ni vyama tu kama ilivyo vyama vingine vya kisiasa.

Wapalestina wote kwa ujumla bila kujali vyama vyao, dini zao, au wapi wapo ndiyo waathirika wakuu.
 
Niongezee kitu hapa.
Watu wanaleta justification ya Israel kuitawala kimabavu palestina wakisema kiasili ardhi ya wayahudi.
DUNIANI KUNA MATAIFA MAKUBWA YAMEUNDWA JUU YA MATAIFA YA WENZAO.

KAISOMENI INDIGENOUS ORIGIN YA AUSTRALIA NI YA WATU WEUSI.
WAZUNGU WAKAVAMIA NA JUZI BUNGENI WAMEKATAA HAKI YA WAZAWA WA AUSTRALIA KUWA NA SAUTI BUNGENI.
 
Uuna sababu ya kupiga kelele. Andika tu kwa herufi ndogo, utaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…