Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

Wenye sauti UN ni wale wenye veto power tu basi.
 
Unabishana na mtu ambaye sio mdadisi wa mambo....ni mkurupukaji tu...madhila wanayofanyiwa Palestine toka 1948 watu hawataki kabisa kuyaona....wao wanacheki makosa ya upande mmoja....hata upataji wa taarifa wao wanachukua upande mmoja bila kujiongeza na kutafuta vyanzo vingine vya habari pia wapime mizania....inasemwa Hamas wameua watu na kuteka watu pia...kiukweli si jambo zuri kabisa na halikubaliki na wanaitwa magaidi....Sasa na Hawa wanaojibu nao jeshi la Israel wao ndo wanaenda mbali zaidi kwa kupiga majengo hovyo na kuua raia wasio na hatia mostly wakiwemo watoto na wanawake mpk wazee...Sasa unajiuliza Ina maana watoto na wazee nao ni magaidi au....wanaishia kusema ni human shield...majibu mepesi kabisa na ya kipumbavu....halafu walivyokuwa washenzi kwlikwli walisema kuna watoto 40 wamekatwa vichwa na Hamas wanaulizwa ushahidi uko wpi wakaishia kusema ni taarifa ambayo sio sahihi...watu wamepotezea na hili...mpk hapo imeshajulikana kuna uongo mwingi juu ya hili jambo na wanajaribu kutumia vyombo vya habari sana kupindisha mambo ila watu wameshaanza kujua ukweli....hawatakaa wafanikiwe kamwe....Dunia ya Sasa sio ya miaka 70 ilopita....utakachokifanya hapohapo kitajulikana hata ukifiche vp
 
Hujui maana ya gaidi rudi ukasome.
Wakati huo kabla ya Hamas kufanya mashambulizi una habari kuwa Israel settlers walikua wakipiga watu risasi kule Ramallah occupied westbank????
Hivyo Hamas wamejitetea nadhani hapo utajua nani gaidi halisi.

Hamas ni magaidi. Hawana tofauti na ISIS
 
Ukiacha Iran hakuna yeyote aliyeungana Hamas .unaongea uongo kama hujui.
 
Hamas ni magaidi wanatumia watu kama ngao,wanahifadhi na kutumia siraha katika makazi ya watu!Wapigwe,sagwe!Magaidi ni watu wabaya!muungwana angeanza kuwalaani hawa anayewatetea ni gaidi pia!
 
Hamas ni magaidi wanatumia watu kama ngao,wanahifadhi na kutumia siraha katika makazi ya watu!Wapigwe,sagwe waishe!Magaidi hawana nafasi duniani.muungwana angeanza kuwalaani hawa anayewatetea ni gaidi pia!
Hizo ni sababu za uongo.
Mpakani na Lebanon wamepiga gari la waandishi wa habari bomu wamepiga ambulance 16 mabomu je humo pia kulibebwa magaidi???
Ukisemacho wewe ni kama kile cha 2006 IDF inapiga kombora Beirut akati Hezbollah wapo kusini mwa Lebanon shebaa farms na bint jubeir.
Israel wakikandamizwa katika mapigano hudhohofisha upinzani kwa kuwaumiza raia wao kama hilo unapinga kamanda was majeshi ya IDF alisema Lebanon iizuie hizbollah isiingie vitani laa sivyo itaua raia wake bila kusita.
Hapo unasemaje kwa hiyo kauli???!!!
 
Majirani hapo north washachagua side yao kitambo tu
 
Kuhusu UN naunga mkono hatua waliyoichukua Mali.

Tanzania tunachelewa sana kuwafurusha
 
Mkuu unajiliwaza!Hakuwa wa kumpiga myahudi,hapa leo wote munaimba nyimbo moja(palestina wanaonewa).siku za mwanzo hamas muliwaona mashujaa(walipoua watoto,wanawake na wazee)watu kama nyie hamuitaji huruma!
 
Mkuu unajiliwaza!Hakuwa wa kumpiga myahudi,hapa leo wote munaimba nyimbo moja(palestina wanaonewa).siku za mwanzo hamas muliwaona mashujaa(walipoua watoto,wanawake na wazee)watu kama nyie hamuitaji huruma!
Fuatilia chanzo kwanini Hamas Ali react.
September kule jenin walowezi was kiyahudi walikua wakipiga raia wa occupied westbank risasi,IDF ilibomoa majumba na kuongeza eneo.
Hiyo ni September sasa jijibu mwenyewe nani mkorofi kati ya Hamas na Israel.
 
Fuatilia chanzo kwanini Hamas Ali react.
September kule jenin walowezi was kiyahudi walikua wakipiga raia wa occupied westbank risasi,IDF ilibomoa majumba na kuongeza eneo.
Hiyo ni September sasa jijibu mwenyewe nani mkorofi kati ya Hamas na Israel.
Hapa sawa wote wanapigana!Kule Ukraine wale supporters wa Urusi ndio haohao wa hamas nyie ni wanafiki.mimi nasapoti parestina people ila siyo hamas ni magaidi na supporters wao!
 
China , Russia wanasapoti Palestina usijifanye haujui
 

Imekaa vizuri. Israel Haiwezi kudai hakinya kujilinda kwenye ardhi ya wizi.

Samia kimya. Na wale wengine kimya. Heko Zitto kwa kuwatolea uvivu majahudi yale.

Haki ya mtu lazima iheshimiwe.
 
Nashangaa mwafrika anapata wapi guts za ku-side upande wowote wa mizozo hii ya kikatiri
 
Imekaa vizuri. Israel Haiwezi kudai hakinya kujilinda kwenye ardhi ya wizi.
Kwahiyo kuna binadamu ana haki ya kupiga na mwingine hanahaki ya kujilinda ; mimi na usukuma wangu sina misuli ya ku-side popote
 
Kwahiyo kuna binadamu ana haki ya kupiga na mwingine hanahaki ya kujilinda ; mimi na usukuma wangu sina misuli ya ku-side popote
Kama wako huo wauita usukuma itakuwa ndiyo shida mkuu:



Mwizi wa ardhi ya mwizi anadai vipi haki yake ya kujilinda kwenye ardhi ya wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…