Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuanzia miaka ya 1980 hadi 2010 dunian kulikuwa ni ehemu nzur sana ya muzik mzuri na wa faraja ambao ulikuwa ni kila aina na kila lika na kila sehemu
Kulikuwa kuna mziki wa wazee pekee ambao ulitokea kupendwa zaid na watu wa lika hilo pande zote dunian
Kulikuwa kuna mziki wa vijana ambao ulipendwa zaid na watu wa lika hilo
Pia kulikuwa na mziki wa sehemu mbali mbali kama sehemu za starehe na misiban na hata makanisan na mziki huo ulikiwa mziki kweli yaan mzur sana
Lakin kwa siku za hiv kalibun mziki umekuwa hauna mvuto tena licha ya wasanii kuongezeka tofaut na zaman kwa sasa watu wanaskiliza mziki ili mrad tu siku zieende hakuna tena ule mziki ukiusikia inabid uanze kucheza kwa kutingisha kichwa na miguu hata kama ulikuwa umekaa
Nini chanzo cha yote hayo ni kukosa ubunifu au kuna shida gan kwa sasa?
UPUNGUFU WA MARAPA
Huu ni ukweli sio na shaka kuwa kwa sasa dunia yetu ina upungufu mkubwa sana wa marapa kutoka kila pande za dunia tukianzia USA hadi AFRICA
Ukimuangalia rapa wa sasa anayetisha ni DRAKE ambaye hata nyimbo zake hazijulikani sio kama enzi hizo marapa walikuwa ni tishio na ngoma zao zilikuwa zina hit ile mbaya
Muziki mzur tuliouzoea kutoka kwa marapa kama lily wayne haupo tena
Kulikuwa na mziki wa kweli kutoka kwa mkali ambaye mimi hupenda kumuweka namba moja dunian kote naye saiv karud tofaut kabisa yaan hakuna chochote
Hata rapa mwenye album mpya ambaye katoa juz hakuna alichorap zaid ya kuashirikisha wabana pua
Nawasilisha
LONDON BABY
Post sent using JamiiForums mobile app