Dunia yakumbwa na upungufu wa mziki mzur hasa wa rap

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kuanzia miaka ya 1980 hadi 2010 dunian kulikuwa ni ehemu nzur sana ya muzik mzuri na wa faraja ambao ulikuwa ni kila aina na kila lika na kila sehemu

Kulikuwa kuna mziki wa wazee pekee ambao ulitokea kupendwa zaid na watu wa lika hilo pande zote dunian

Kulikuwa kuna mziki wa vijana ambao ulipendwa zaid na watu wa lika hilo

Pia kulikuwa na mziki wa sehemu mbali mbali kama sehemu za starehe na misiban na hata makanisan na mziki huo ulikiwa mziki kweli yaan mzur sana

Lakin kwa siku za hiv kalibun mziki umekuwa hauna mvuto tena licha ya wasanii kuongezeka tofaut na zaman kwa sasa watu wanaskiliza mziki ili mrad tu siku zieende hakuna tena ule mziki ukiusikia inabid uanze kucheza kwa kutingisha kichwa na miguu hata kama ulikuwa umekaa

Nini chanzo cha yote hayo ni kukosa ubunifu au kuna shida gan kwa sasa?

UPUNGUFU WA MARAPA

Huu ni ukweli sio na shaka kuwa kwa sasa dunia yetu ina upungufu mkubwa sana wa marapa kutoka kila pande za dunia tukianzia USA hadi AFRICA

Ukimuangalia rapa wa sasa anayetisha ni DRAKE ambaye hata nyimbo zake hazijulikani sio kama enzi hizo marapa walikuwa ni tishio na ngoma zao zilikuwa zina hit ile mbaya
download.jpeg

Muziki mzur tuliouzoea kutoka kwa marapa kama lily wayne haupo tena
IMG_20170716_073044.jpeg

Kulikuwa na mziki wa kweli kutoka kwa mkali ambaye mimi hupenda kumuweka namba moja dunian kote naye saiv karud tofaut kabisa yaan hakuna chochote
download-1.jpeg

Hata rapa mwenye album mpya ambaye katoa juz hakuna alichorap zaid ya kuashirikisha wabana pua

Nawasilisha

LONDON BABY

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu sasa hivi muziki hasa wa rap hauna ubora kama ule wa late 80's na 90's. Sasa hivi wengi wanabebwa na media na hata wale wenye vipaji , lyrics na style nzuri imebidi wabadilike ili kufuata soko. Jay z wa aliyeimba dead president siyo huyu wa 4:44. Lil wayne wa ghetto boyz siyo huyu wa sasa. Hauwezi kulinganisha golden generation ya akina LL cool j, Guru (rip), onyx,nas, naught by nature, queen latifah,bahamadia, rah digga na hawa wakina future,niki minaji na drake wa sasa. Ila ndiyo kizazi hiki wanachoenjoy na sisi tuliienjoy vya 90's. Ila kwa sasa kiukweli hakuna mziki mzuri tena.

mkuu jaribu kuzipitisha masikioni hizi nyimbo za kendric,DNA,HUMBLE,ROYALTY nk.dogo bado ana ladha ya zamani...yupo vizuri aisee..
 
Generation mpya mziki mpya

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
Kendrick Lamar, J Cole, Talib Kweli Lupe Fiasco ......

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Wote mlio changia hamjui Hip hop ya kweli, uwezi zungumzia mziki Wa hiphop ya kale na sasa bila kutaja jina au mchango Wa marehemu Tupac Amaru Shakur na Notorious B.I.G

Aswa 2pac ndiyo alama ya muziki Wa Rap duniani ata K.R.S one aliwai kusema Tupac ni masiyah Wa hip hop duniani na itabakia hivyo milele.

Na ata wote mlio wataja hapo juu lil Wayne na Drake wote ujifananisha na PAC lil Wayne alishawai jita yeye ni new Tupac Drake nae alishawai taja kwambe yeye yuko real kama Tupac,

Jay zee mwenyewe aliwaigi sema kwenye maojiano alipo ulizwa kuhusu Rap music Big na PAC alisema na nukuu.

" mziki Wa Rap umechenji kwa kiwango kikubwa lakini ukweli utabakia kuwa wanaume Wa wili watabaki kuwa alama ya muziki Wa Rap milele"

Alipo ulizwa ni kina nani hao wanaume Wa wili na kwanini. Aliwataja kuwa ni Notorious B.I.G na Tupac Shakur akaenda mbali na kudai japo yeye alikuwa ni east cost lakini anakubali kuwa Tupac alikuwa na ataendelea kuwa mfalme Wa Rap daima.

Ata hapa bongo wasanihii wetu awawezi toa ngoma Kali ya Rap wasitaje jina la Tupac mafa Mr. II wimbo SUGU kunaubeti anasema natakakuwa kama Tupac itikadizangu nitaziweka kwenye maiki atanikifa mzikiwangu utaendelea kuwepo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu wanasoma alama za nyakazi. Wewe uimbe Rap sasa hiv utahit kiaje wakati kizazi kipya knapenda pop. Ndyo maana Rapas wanafanya commercial ambayo ni mix ya pop na hphop

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuuu ile ladha ya muziki hamna kabisa, leo hii unakuta nyimbo unasikiliza mpya siku moja huna hamu nayo tena???? Muda mwingine linabadirika wazo na kutafuta kitu cha '' naughty by nature feel me flow "" "angalau uburudike aiseee

Mi ndio sitakagi ujinga nikiwa na bundle langu najichimbia you tube naanza kuneng'eneka na za 1980 za kina madonna wacko aretha tina turner nakuja 1990 baadae ndio nagusa gusa mpaka za 2005!
Hapo bariiida kabisa!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu sasa hivi muziki hasa wa rap hauna ubora kama ule wa late 80's na 90's. Sasa hivi wengi wanabebwa na media na hata wale wenye vipaji , lyrics na style nzuri imebidi wabadilike ili kufuata soko. Jay z wa aliyeimba dead president siyo huyu wa 4:44. Lil wayne wa ghetto boyz siyo huyu wa sasa. Hauwezi kulinganisha golden generation ya akina LL cool j, Guru (rip), onyx,nas, naught by nature, queen latifah,bahamadia, rah digga na hawa wakina future,niki minaji na drake wa sasa. Ila ndiyo kizazi hiki wanachoenjoy na sisi tuliienjoy vya 90's. Ila kwa sasa kiukweli hakuna mziki mzuri tena.

Post sent using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu mimi nimeshindwa kuielewa hii album mpya ya jaya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mkuu jaribu kuzipitisha masikioni hizi nyimbo za kendric,DNA,HUMBLE,ROYALTY nk.dogo bado ana ladha ya zamani...yupo vizuri aisee..
Mkuu hizo nyimbo kweli waweza linganisha na ngoma za mtu mmoja anaitwa THE GAME enz hizo kitambo akiimba na akina lily wayne

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wote mlio changia hamjui Hip hop ya kweli, uwezi zungumzia mziki Wa hiphop ya kale na sasa bila kutaja jina au mchango Wa marehemu Tupac Amaru Shakur na Notorious B.I.G

Aswa 2pac ndiyo alama ya muziki Wa Rap duniani ata K.R.S one aliwai kusema Tupac ni masiyah Wa hip hop duniani na itabakia hivyo milele.

Na ata wote mlio wataja hapo juu lil Wayne na Drake wote ujifananisha na PAC lil Wayne alishawai jita yeye ni new Tupac Drake nae alishawai taja kwambe yeye yuko real kama Tupac,

Jay zee mwenyewe aliwaigi sema kwenye maojiano alipo ulizwa kuhusu Rap music Big na PAC alisema na nukuu.

" mziki Wa Rap umechenji kwa kiwango kikubwa lakini ukweli utabakia kuwa wanaume Wa wili watabaki kuwa alama ya muziki Wa Rap milele"

Alipo ulizwa ni kina nani hao wanaume Wa wili na kwanini. Aliwataja kuwa ni Notorious B.I.G na Tupac Shakur akaenda mbali na kudai japo yeye alikuwa ni east cost lakini anakubali kuwa Tupac alikuwa na ataendelea kuwa mfalme Wa Rap daima.

Ata hapa bongo wasanihii wetu awawezi toa ngoma Kali ya Rap wasitaje jina la Tupac mafa Mr. II wimbo SUGU kunaubeti anasema natakakuwa kama Tupac itikadizangu nitaziweka kwenye maiki atanikifa mzikiwangu utaendelea kuwepo

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu uko sahihi sana lakin hii maada haizungumzii nan mkali wa rap hapa tunaongelea mziki wa sasa ulivyo wakibabaishaji

Fact huwez taja utamadun wa Hip hop bila kutaja Pac na B.i.G
KRs one
Rakhim
Guru
 
Wahenga waacheni watoto waenjoy jamani.Mwisho mtawakataza kucheza PS.
 
Back
Top Bottom