mkuu jaribu kuzipitisha masikioni hizi nyimbo za kendric,DNA,HUMBLE,ROYALTY nk.dogo bado ana ladha ya zamani...yupo vizuri aisee..Ni kweli mkuu sasa hivi muziki hasa wa rap hauna ubora kama ule wa late 80's na 90's. Sasa hivi wengi wanabebwa na media na hata wale wenye vipaji , lyrics na style nzuri imebidi wabadilike ili kufuata soko. Jay z wa aliyeimba dead president siyo huyu wa 4:44. Lil wayne wa ghetto boyz siyo huyu wa sasa. Hauwezi kulinganisha golden generation ya akina LL cool j, Guru (rip), onyx,nas, naught by nature, queen latifah,bahamadia, rah digga na hawa wakina future,niki minaji na drake wa sasa. Ila ndiyo kizazi hiki wanachoenjoy na sisi tuliienjoy vya 90's. Ila kwa sasa kiukweli hakuna mziki mzuri tena.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mi ndio sitakagi ujinga nikiwa na bundle langu najichimbia you tube naanza kuneng'eneka na za 1980 za kina madonna wacko aretha tina turner nakuja 1990 baadae ndio nagusa gusa mpaka za 2005!Kweli mkuuu ile ladha ya muziki hamna kabisa, leo hii unakuta nyimbo unasikiliza mpya siku moja huna hamu nayo tena???? Muda mwingine linabadirika wazo na kutafuta kitu cha '' naughty by nature feel me flow "" "angalau uburudike aiseee
Post sent using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu mimi nimeshindwa kuielewa hii album mpya ya jayaNi kweli mkuu sasa hivi muziki hasa wa rap hauna ubora kama ule wa late 80's na 90's. Sasa hivi wengi wanabebwa na media na hata wale wenye vipaji , lyrics na style nzuri imebidi wabadilike ili kufuata soko. Jay z wa aliyeimba dead president siyo huyu wa 4:44. Lil wayne wa ghetto boyz siyo huyu wa sasa. Hauwezi kulinganisha golden generation ya akina LL cool j, Guru (rip), onyx,nas, naught by nature, queen latifah,bahamadia, rah digga na hawa wakina future,niki minaji na drake wa sasa. Ila ndiyo kizazi hiki wanachoenjoy na sisi tuliienjoy vya 90's. Ila kwa sasa kiukweli hakuna mziki mzuri tena.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu hizo nyimbo kweli waweza linganisha na ngoma za mtu mmoja anaitwa THE GAME enz hizo kitambo akiimba na akina lily waynemkuu jaribu kuzipitisha masikioni hizi nyimbo za kendric,DNA,HUMBLE,ROYALTY nk.dogo bado ana ladha ya zamani...yupo vizuri aisee..
Mkuu uko sahihi sana lakin hii maada haizungumzii nan mkali wa rap hapa tunaongelea mziki wa sasa ulivyo wakibabaishajiWote mlio changia hamjui Hip hop ya kweli, uwezi zungumzia mziki Wa hiphop ya kale na sasa bila kutaja jina au mchango Wa marehemu Tupac Amaru Shakur na Notorious B.I.G
Aswa 2pac ndiyo alama ya muziki Wa Rap duniani ata K.R.S one aliwai kusema Tupac ni masiyah Wa hip hop duniani na itabakia hivyo milele.
Na ata wote mlio wataja hapo juu lil Wayne na Drake wote ujifananisha na PAC lil Wayne alishawai jita yeye ni new Tupac Drake nae alishawai taja kwambe yeye yuko real kama Tupac,
Jay zee mwenyewe aliwaigi sema kwenye maojiano alipo ulizwa kuhusu Rap music Big na PAC alisema na nukuu.
" mziki Wa Rap umechenji kwa kiwango kikubwa lakini ukweli utabakia kuwa wanaume Wa wili watabaki kuwa alama ya muziki Wa Rap milele"
Alipo ulizwa ni kina nani hao wanaume Wa wili na kwanini. Aliwataja kuwa ni Notorious B.I.G na Tupac Shakur akaenda mbali na kudai japo yeye alikuwa ni east cost lakini anakubali kuwa Tupac alikuwa na ataendelea kuwa mfalme Wa Rap daima.
Ata hapa bongo wasanihii wetu awawezi toa ngoma Kali ya Rap wasitaje jina la Tupac mafa Mr. II wimbo SUGU kunaubeti anasema natakakuwa kama Tupac itikadizangu nitaziweka kwenye maiki atanikifa mzikiwangu utaendelea kuwepo
Post sent using JamiiForums mobile app
Fact huwez taja utamadun wa Hip hop bila kutaja Pac na B.i.GWote mlio changia hamjui Hip hop ya kweli, uwezi zungumzia mziki Wa hiphop ya kale na sasa bila kutaja jina au mchango Wa marehemu Tupac Amaru Shakur na Notorious B.I.G