greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Kama stend ya mbezi,sgr, daraja la busisi nk.Zipi hizo mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama stend ya mbezi,sgr, daraja la busisi nk.Zipi hizo mkuu?
Kutengeneza miundombinu in expense of human blood ni kitu ambacho ni non-sense.Ni sawa na ubadilishe watu wawe misukule kisha uanze kuwatumia kutengeneza miundommbinu.Non-sense!!Kama stend ya mbezi,sgr, daraja la busisi nk.
Hivi unakijua ulichokijibu...kwahy essay yako ya point kurudia rudia ndo ina make sense...Kutengeneza miundombinu in expense of human blood ni kitu ambacho ni non-sense.Ni sawa na ubadilishe watu wawe misukule kisha uanze kuwatumia kutengeneza miundommbinu.Non-sense!!
Una akili timamu?Suala la akina Ben saaanane kuuawa,akina Tundulissu kupigwa risasi mchana kweupe,wapinzani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi nchi nzima na kadhalika linahitaji ushahidi?Yaani suala la watu mpaka kukimbia nchi kwenda exile linahitaji ushahidi?Hivi unakijua ulichokijibu...kwahy essay yako ya point kurudia rudia ndo ina make sense...
kama we unajifanya activist mzuri lazima utuoneshe both side of tha same coin(mazuri na mabaya) and if not bas n mihemko nd inakufanya uwe hvyo plus stress zinazotafuna ubongo wako... Unaweza ukaweka ushahid wa kutekwa kwa hao watu..
Alikuwa sahihi kwa tafiti gani alifanya akajua kuwa Corona haitakuwa na madhara Tanzania?Hoja yangu ya msingi ni kwamba Magufuli kwenye suala la Corona alibeti rohoo zetu na Rais kama huyo hafai.Kwenye suala la covid alikuwa sahihi kabisa
Ova
Mtu kama wewe, si ajabu ni mmoja ya watu wanaopigania kuwepo Demokrasia, ila hutaki wengine wawasilishe mawazo yao, sababu tu wewe yanakukera.
Bado tunasafari ndefu.
Mzimu wa hayati unakusumbua. Tulia.Wakakumbuke kwenye magroup yao huko whatsapp tushachoka na masifa ya kijinga.
Mzimu wa hayati unakusumbua. Tulia.
Hahaha huyo msela huwa naanza tazama avatar yake halafu ndio nahamia kwenye comments zake!!!Nilikuwa natafuta comment yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwa sasa wanalipwa na nani?Mleta mada ameanza shift ya kulinda legasi.
So hao mabeberu wanaofanya discussions za covid na kumtaja late presida John wanafanya hicho ulichosema?😬.Acheni longo longo MEKO kashavuta kazi iendelee bado tu mnaendeleza mapambio? Au mlilipwa in advance kwa mwaka mzima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha huyo msela huwa naanza tazama avatar yake halafu ndio naamia kwenye comments zake!!!
So hao mabeberu wanaofanya discussions za covid na kumtaja late presida John wanafanya hicho ulichosema?😬.
Kama upendi kusikia habari za Magufuli kwa nini ukiona uzi unaohusu yeye usipite kushoto comrade.!
Kwa kweli tunamkumbuka sana Magufuli!...Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake.
Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa korona.
Magufuli alikuwa sahihi sana kuhusu kuhoji ubora wa vifaa vya upimaji wa korona, lockdown, nchi nyingi saivi wananchi wanaandamana wamechoka kufungiwa ndani, baadhi ya majimbo Marekani yameondoa kabisa zuio la lockdown kwa mfano jimbo la Texas, hata ndugu zetu Wakenya wanalia waachiwe huru, lockdown zimewachosha na hazina msaada wowote.
Baadhi ya nchi kama Sweden zimefanya tafiti kuvaa barakoa sio suluhisho la kuzuia korona.
Juzi mshauri wa masuala ya Magonjwa wa Uingereza kaishauri serikali yake wajifunze kuishi na corona bila mazuio yoyote.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe, Msimamo wa Magufuli ulikua sahihi 100% kuhusu corona, baadhi ya Watanzania wachache waliokua wanaupigia chapuo huu ugonjwa na kuukuza ndio waliokua wanawatengenea wananchi hofu zisizo za msingi.
Leo hii Dunia imeshtukia propaganda zilizopo nyuma ya huu ugonjwa unaoitwa covid-19, kitu ambacho Mwendazake alikijua mapema kabisa toka ulipoanza.
View attachment 1758868
View attachment 1758993