Dunia yetu tunayoishi haijapangika ila inahitaji kupangwa ili kuleta mpangilio mzuri kwa watu wake

Dunia yetu tunayoishi haijapangika ila inahitaji kupangwa ili kuleta mpangilio mzuri kwa watu wake

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
The world is randomly .

Dunia hii tunayoishi hijapangika ila inahitaji kupangwa.

Unapokuja hapa Duniani moja kwa moja unakuja ku-experience Dunia ambayo haijapangika Ipo (Randomly)

Ili uone ladha ya MAISHA ya Duniani either kwa uchache au ukubwa, lazima ukae sehemu ya kuipanga dunia.

Kuipanga dunia ni kuamua kuufanya uwepo wako kusomeka hapa duniani.

Chukulia mfano wa kuamua kukaa katika nasty room (Chumba kichafu)ambacho vitu vimetupwa huku na kule bila mpangilio maalumu ,
maana yake hautakuwa comfortable na ukiendelea kukaa bila kukisafisha hicho chumba na kupangilia vitu vizuri na kuweka kila kitu mahala pake basi uwepo wako katika hicho chumba hautaonekana wala kusomeka
alice-roomset-800x800-c-center.jpg

Hivyo ikiwa umeamua kuwa sehemu ya kuipanga dunia , waweza fanya havi.
It Is very easy and affordable and sometimes it is cost nothing.

•Ikiwa unataka Kuona Sura zenye tabasamu na zinazoashiria ushindi. Ebu wape watu matumiani. Give them hope.

•Na Ikiwa unataka kuona watu wanainuka na kuzifata ndoto zao ebu wasapoti .Give them ur support.

•Na ikiwa utataka kuwaona watu wapo na Amani na wewe ebu wape Haki yao.

The Physical world is randomly!
 
Moderator
Active

Naomba mnitafutie picha zinazonendana na content ya uzi picha imuoneshe mtu akifanya usafi katika chumba au nyumba chafu iliyo randomly then nyingine ioneshe amemaliza tayari kuifanya hiyo kazi.

Maudhui ya uzi imetumika Sanaa ya lugha ya ikimaanisha kuwa binadamu anazaliwa kuja katika dunia ambayo haina mpangilio maalumu hivyo ni jukumu lake ili afurahie uwepo wake anabidi kuipangilia dunia vile anataka kuitazama. Mfano ukihitaji kuona tabasamu kwa watu just give them hope.

Naomba uzi wangu muiweke sawa as
AHSANTE
 
Maudhui ya uzi imetumika Sanaa ya lugha ya ikimaanisha kuwa binadamu anazaliwa kuja katika dunia ambayo haina mpangilio maalumu hivyo ni jukumu lake ili afurahie uwepo wake anabidi kuipangilia dunia vile anataka kuitazama. Mfano if you want to see Smiles just give people hope. N.k

Naomba uzi wangu muiweke sawa as
AHSANTE
Hatutaki, usitupelekeshe.
 
Moderator
Active

Naomba mnitafutie picha zinazonendana na content ya uzi picha imuoneshe mtu akifanya usafi katika chumba au nyumba chafu iliyo randomly then nyingine ioneshe amemaliza tayari kuifanya hiyo kazi.

Maudhui ya uzi imetumika Sanaa ya lugha ya ikimaanisha kuwa binadamu anazaliwa kuja katika dunia ambayo haina mpangilio maalumu hivyo ni jukumu lake ili afurahie uwepo wake anabidi kuipangilia dunia vile anataka kuitazama. Mfano ukihitaji kuona tabasamu kwa watu just give them hope.

Naomba uzi wangu muiweke sawa as
AHSANTE
Moderator
Active

Naomba mfanyie Kazi hilo swala.
 
Back
Top Bottom