kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Oct 5, 2022 #1 Pale unapo mfukuzia mwanamke fulani ambaye unampenda sana halafu awe anakuchomolea nje! Ujumbe wenu huu wazee wa tafuta pesa. Siyo kila mwanamke anahitaji pesa zako wengine wanaomba bidii yako na kujali kwako ndiyo uwapate.
Pale unapo mfukuzia mwanamke fulani ambaye unampenda sana halafu awe anakuchomolea nje! Ujumbe wenu huu wazee wa tafuta pesa. Siyo kila mwanamke anahitaji pesa zako wengine wanaomba bidii yako na kujali kwako ndiyo uwapate.
Walec JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,364 Reaction score 3,326 Oct 5, 2022 #2 Mwanaume unampendaje msichana sana? Shida inaanzia hapa,ww kama Mwanaume lazima uwe na options otherwise mtaendelea kuteswa sana
Mwanaume unampendaje msichana sana? Shida inaanzia hapa,ww kama Mwanaume lazima uwe na options otherwise mtaendelea kuteswa sana
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 6, 2022 #3 Walec said: Mwanaume unampendaje msichana sana? Shida inaanzia hapa,ww kama Mwanaume lazima uwe na options otherwise mtaendelea kuteswa sana Click to expand... Ujumbe murua mchungu lakini mtamu sanaa
Walec said: Mwanaume unampendaje msichana sana? Shida inaanzia hapa,ww kama Mwanaume lazima uwe na options otherwise mtaendelea kuteswa sana Click to expand... Ujumbe murua mchungu lakini mtamu sanaa