johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wakati Mussa anapigana na yule Mmisri walikuwa Wawili tu hadi alipomuua na kumfukia ardhini
Kumbe kuna mtu wa tatu alimuona na akahifadhi ule ushuhuda Moyoni akisubiri wakati sahihi ndio auachilie
Haya mambo ya Siasa yalianza Enzi za Agano La Kale
Ahsanteni sana 🙏