Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote.

Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa isiyogusika ya kumuachia madaraka mtu anayemtaka yeye yaani Rais. Nchimbi anajua kuwa yeye sio mtoto pendwa hadharani na sirini hivyo anajua kwa katiba hii ndoto zake zimefikia mwisho katika siasa.

Dr Nchimbi ni kama vile anahamasisha uasi ndani ya CCM, upinzani na kwa umma kwa ujumla. Tabu ni kwamba wananchi wameshajaribu wamezimwa. Swali ni je Jeshi lao litakubali mtawala aliyepo amuweke madarakani mtu wake au litawasaidia wananchi kupata katiba mpya itakayowawezesha kuwachagua viongozi wawatao!?

Kila nikiona hizi barrier za polisi na wanajeshi kwenye junction napata maono kuwa hawa mbwa wanaombiwa walinde nyama huku wanapewa nyama mbichi kuna siku watavamia bucha au kumshambulia mwenye mbwa.

Muda ni muamuzi mzuri sana. We refuse, we resist said Malema
 
Acha Upumbavu
Acha Kucheza ngoma za CCM
CCM ni ile ile.

Mwenzio anasukuma kete za 2030.

Mtajji mkubwa wa CCM ni wapumbavu
Wajinga.
Mafamba na
Mbumbumbu kama wewe.
 
Back
Top Bottom