Pre GE2025 Duniani kote kipindi cha uchaguzi wanasiasa huwa wanatafuta Booster za Viongozi wa dini /wasanii na wafanyabiashara

Pre GE2025 Duniani kote kipindi cha uchaguzi wanasiasa huwa wanatafuta Booster za Viongozi wa dini /wasanii na wafanyabiashara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii.

Wafanyabishara huwa wanatumika kama Donors ku sponsor kampeni za kisiasa kuongeza nguvu ya fedha , matajiri huwa wanafanya betting wanafanya mahesabu makubwa kabla ya kumchagua mgombea au chama cha kuki support kwa malengo mbele ya safari iwe rahisi kutengenezewa njia ya mazingira rahisi ya kufanya biashara mgombea au chama akishika /kikishika usukani wa uongozi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siasa huwa zinaendeshwa kwa mahesabu makali kila maamuzi yanayochukuliwa watu wanafanya calculations za kutosha hawakurupuki
 
Back
Top Bottom