Duniani kote mafukara hutiki mabwanyenye hugawana utajiri wa nchi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Hapa Tanzania kumegawanyika makundi mawili ya watanzania, kuna kundi linalounga mkono uchaguzi wa mwaka huu na lipo linalopinga mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu.

Lile linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "Oktoba tunatiki" na linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "No Reforms No Election".

Nimechunguza Dunia nzima a wapiga kura wengi huwa ni maskini lakini wanaofaidika na madaraka ya kisiasa huwa ni matajiri na wanasiasa walio madarakani.

Ulazima wa uchaguzi huwa ni kwa wanaotaka "kukombolewa" ambao wengi wao ni maskini na watu wengine wasio na fursa ama wanaona waliopo madarakani wakitoka wao pia watapoteza fursa walizonazo sasa.

Lakini matajiri na wanasiasa hawapendi uchaguzi kwani unaweza kuwatoa madarakani au kuwapotezea fursa walizo nazo Sasa.

Elon Musk alimuunga mkono Trump ili fursa zake zisipotee na Trump alipambana kufa na kupona ili ashinde aepuke kushitakiwa.

Wanaotiki wengi wao humaliza maisha yao duniani bila ya kufaidi matunda Yao ya kutiki wakati wa chaguzi.

Unapoenda kutiki jiridhishe kweli kama una sababu ya msingi, ya kutiki.
 
Nyumbu mtakuja na Kila aina ya mada......Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni jitu Moja kuuuuuuubwa sana kwenu nyumbu!!
 
Mtu mkubwa huwa Hana hofu... Wenye ukubwa ni wale watu ambao Kila jambo hulifanya Kwa uwazi bila ya hofu.

Ushindani bila ya kushindana ni mazingaombwe!
 
Hapa Tanzania kumegawanyika makundi mawili ya watanzania, kuna kundi linalounga mkono uchaguzi wa mwaka huu na lipo linalopinga mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu.

Lile linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "Oktoba tunatiki" na linalopinga linaongozwa na kauli mbiu ya "No Reforms No Election".

Nimechunguza Dunia nzima a wapiga kura wengi huwa ni maskini lakini wanaofaidika na madaraka ya kisiasa huwa ni matajiri na wanasiasa walio madarakani.

Ulazima wa uchaguzi huwa ni kwa wanaotaka "kukombolewa" ambao wengi wao ni maskini na watu wengine wasio na fursa ama wanaona waliopo madarakani wakitoka wao pia watapoteza fursa walizonazo sasa.

Lakini matajiri na wanasiasa hawapendi uchaguzi kwani unaweza kuwatoa madarakani au kuwapotezea fursa walizo nazo Sasa.

Elon Musk alimuunga mkono Trump ili fursa zake zisipotee na Trump alipambana kufa na kupona ili ashinde aepuke kushitakiwa.

Wanaotiki wengi wao humaliza maisha yao duniani bila ya kufaidi matunda Yao ya kutiki wakati wa chaguzi.

Unapoenda kutiki jiridhishe kweli kama una sababu ya msingi, ya kutiki.
Screenshot_20250829-102441.png
 
Back
Top Bottom