Duniani kuna watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya bilioni 8; umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende?

Duniani kuna watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya bilioni 8; umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende?

Single ya siku hizi sio kwamba zinamaana ile ya single. Sasa hivi watu wapo single ile ana ndondo kibao,so mechi anapiga kama kawa mda wowote autakao.

Hamna mtu ambaye yupo single kwa asilimia zote,kama wapo basi wachache sana.Hamjui tu siku hizi ngono imekuwa rahisi sana na hamna mistake kubwa iliyo fanywa na wanawake kama kuithaminisha ngono kwa fedha,kwani kila mwanamke ananunulika kwa style yake na kwa dau lake either direct au indirect, ila wapo wasio nunulika japo ni wachache mnoo na ngumu kuwapata.
 
Single ya siku hizi sio kwamba zinamaana ile ya single. Sasa hivi watu wapo single ile ana ndondo kibao,so mechi anapiga kama kawa mda wowote autakao.

Hamna mtu ambaye yupo single kwa asilimia zote,kama wapo basi wachache sana.Hamjui tu siku hizi ngono imekuwa rahisi sana na hamna mistake kubwa iliyo fanywa na wanawake kama kuithaminisha ngono kwa fedha,kwani kila mwanamke ananunulika kwa style na kwa dau lake either direct au indirect, ila wapo wasio nunulika japo ni wachache mnoo na ngumu kuwapata.
Kabisaaa
 
Ma-Single Mother/Single Father

Duniani kuna watu wanaokadiriwa bilion 8+

Kwa idadi hiyo ni serious umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende?

Aaaaaah alooo!
Blaza, kwahiyo unasema kwenye mji au wilaya unayoishi Kuna watu Billion 8? Maana ukisema Kwa Dunia nzima watu Billion 8, sio kwamba wote wamelundikana Mkoa mmoja.. Wapo nchi tofauti, halafu ukiangalia hapo huna hata passport, Sasa unapataje access nao
 
Back
Top Bottom