[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambieni manara wenu awachambe mruhusiwe.
Mara inatokea mechi ya Yanga mashabiki hawaruhusiwi na gafla ya Simba taratibu zimebadilika wanaruhusiwa.Yanga wataandamana hadi CAF kwamba ni hujuma halafu wawe wamefungwa mbona balaahuyu rais wa caf na waliomchagua wote wapuuzi
Wala sio upuuzi.CAF ni wapuuzi sana
Kwani mpaka sasa huku africa huo ugonjwa umepukutisha wangapi kulinganisha na Ulaya?Wala sio upuuzi.
Huko ulaya wamechanja asilimia ngapi ya watu wao hadi sasa?
Africa nzima hadi sasa imechanja asilikia ngapi ya watu wake?
Tafuta hizo taarifa through a simple google search, utaelewa.
viongozi wa CAF wanafanya kila jambo kuwarizisha wazungu.Hakika aliyewahi kusema Africa is dark continent hakukosea kabisa...
Ulaya penyewe hawajafika hata robo ya woteWala sio upuuzi.
Huko ulaya wamechanja asilimia ngapi ya watu wao hadi sasa?
Africa nzima hadi sasa imechanja asilikia ngapi ya watu wake?
Tafuta hizo taarifa through a simple google search, utaelewa.
Kuchanja haiepukiki. Wanaopinga ni kama tantrum za watoto.Watu mnawasikiliza akina Gwajima ndo mnatarajia wenye akili zao wawaruhusu kuingia? Uingereza ambayo tunafuatilia sana soka lao, 72% wamechanja! Spain 78% wamechanja! Italy, 72% wamechanja!
Kwa nchi ambazo tunafuatilia soka lao lakini waliochanjwa ni wachache ni pamoja na Ujerumani! Lakini hao wachache waliochanjwa ni 66%, huku Uholanzi wakiwa 69%!
Tanzania yenye watu karibu 60M, waliochanjwa hawafiki hata 300K!
Mara inatokea mechi ya Yanga mashabiki hawaruhusiwi na gafla ya Simba taratibu zimebadilika wanaruhusiwa.Yanga wataandamana hadi CAF kwamba ni hujuma halafu wawe wamefungwa mbona balaa