Duniani mashabiki wa soka wameruhusiwa huku Africa wamekatazwa

Duniani mashabiki wa soka wameruhusiwa huku Africa wamekatazwa

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Hakika aliyewahi kusema Africa is dark continent hakukosea kabisa

Africa hii naiona bado iko gizani, huko barani Ulaya na America mashabiki wameruhusiwa kuingia viwanjani pia mechi zote za kombe la dunia mashabiki waliruhusiwa;

Africa sasa ndio wamezinduka kwa kupiga ban mashabiki katika mashindano ya kimataifa ya vilabu na timu za taifa.

Hii ni wazi sasa sisi waafrika tunatatizo, we are lagging behind instead of going forward!
 
Ile round ya machampioni wa kweli wataruhusu tu, hii acha tumboost Azam media.
 
Wala sio upuuzi.
Huko ulaya wamechanja asilimia ngapi ya watu wao hadi sasa?
Africa nzima hadi sasa imechanja asilikia ngapi ya watu wake?
Tafuta hizo taarifa through a simple google search, utaelewa.
Kwani mpaka sasa huku africa huo ugonjwa umepukutisha wangapi kulinganisha na Ulaya?
 
1631244697493.png
 
Mi nadhani ulaya kuna hatua walizifuata na wamefanya katika kudhibiti corona ambazo kwetu tunaona kama siasa so ulaya wana utaratibu wao...kuna baadhi ya nchi ulaya hiyo hyo hawaruhusu mashabiki bado....so ni taratibu tu za kisayansi ...ni the same na ulaya watu wanatafuta chanjo africa watu wanakimbia chanjo hahahahaha
 
Watu mnawasikiliza akina Gwajima ndo mnatarajia wenye akili zao wawaruhusu kuingia? Uingereza ambayo tunafuatilia sana soka lao, 72% wamechanja! Spain 78% wamechanja! Italy, 72% wamechanja!

Kwa nchi ambazo tunafuatilia soka lao lakini waliochanjwa ni wachache ni pamoja na Ujerumani! Lakini hao wachache waliochanjwa ni 66%, huku Uholanzi wakiwa 69%!

Tanzania yenye watu karibu 60M, waliochanjwa hawafiki hata 300K!
 
Wala sio upuuzi.

Huko ulaya wamechanja asilimia ngapi ya watu wao hadi sasa?

Africa nzima hadi sasa imechanja asilikia ngapi ya watu wake?

Tafuta hizo taarifa through a simple google search, utaelewa.
Ulaya penyewe hawajafika hata robo ya wote
 
Watu mnawasikiliza akina Gwajima ndo mnatarajia wenye akili zao wawaruhusu kuingia? Uingereza ambayo tunafuatilia sana soka lao, 72% wamechanja! Spain 78% wamechanja! Italy, 72% wamechanja!

Kwa nchi ambazo tunafuatilia soka lao lakini waliochanjwa ni wachache ni pamoja na Ujerumani! Lakini hao wachache waliochanjwa ni 66%, huku Uholanzi wakiwa 69%!

Tanzania yenye watu karibu 60M, waliochanjwa hawafiki hata 300K!
Kuchanja haiepukiki. Wanaopinga ni kama tantrum za watoto.
 
Watapiga kalele hasaa

Tena ukute walishatupwa nje ya mashindano ndio itakuwa balaa, kelele zitasikika mpaka fifa
Mara inatokea mechi ya Yanga mashabiki hawaruhusiwi na gafla ya Simba taratibu zimebadilika wanaruhusiwa.Yanga wataandamana hadi CAF kwamba ni hujuma halafu wawe wamefungwa mbona balaa
 
Back
Top Bottom