krystiano7
Member
- Mar 19, 2019
- 94
- 132
[emoji16][emoji16]ONa huku
Ukifa ndio unamkaa USINGIZINI......Habarini wanajamvi!
Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi milele.
Nawasilisha
Habarini wanajamvi!

Uko sahihi mkuu.The power of NOW- Eckhart Tolle.
Bonge moja la kitabu Kwa wale wanaopenda kuelewa spiritual side of human being.
Unaota weweHabarini wanajamvi!
Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi milele.
Nawasilisha
[emoji1787] [emoji1787] Ukakumbuka na movies za matrixNdio ukwel ulivyo tupo kwenye matrix
Wala sio move master tunaishi maisha ya kwenye mifumo flan tuliyopangiwa na watu fulani, kidin. Elimu, kisiasa , kiuchumi, na hata kitamaduni[emoji1787] [emoji1787] Ukakumbuka na movies za matrix
Na ikipasuka ndo mwisho...maisha ni kama kubeba chupa ya k-vant mkononi - ikiteleza yapasuka
Kwahiyo hayo maisha halisi yako wapi?Habarini wanajamvi!
Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi milele.
Nawasilisha
Mkuu nakuelewa,ila msoto tunaopitia hata ungekua miaka 300 na mimba ya miaka minne bado tunapofananisha na ukweli kwamba roho zetu ni infinity bado kabisa unaona kwamba ni sawa na snapshot tu ya maisha yote kwa ujumla,sijui km unanielewaKwahiyo hayo maisha halisi yako wapi?
Unataka kusema msoto wa life tunaopitia sio uhalisia? wanawake miez 9 kuhangaika mimba, wanaosota gerezani, waliofilisika etc
Na furaha zetu kama kuchakata mbususu, kupata watoto, kufaulu mitihan, kununua mali etc
Vyote hivi ni ndoto?
Nakinzana na mada coz naamini unavuna unachokipanda in real time.. mfano ukifanya mazoez na proper diet utakua na mwili mzuri.. ukifanya kazi kwa bidii utafanikiwa, dem ukigawa hovyo utapata mimba, ukimwi au gono, kila kitu ni action na reaction!
πππSure mkuu, kwani si ulishasikiaga ile nyimbo inaimba "Dunia tunapita"
Kabisa aiseeUkifa ndio unamkaa USINGIZINI......