Duniani tunaota tu, sio Maisha halisi

Duniani tunaota tu, sio Maisha halisi

Wala sio move master tunaishi maisha ya kwenye mifumo flan tuliyopangiwa na watu fulani, kidin. Elimu, kisiasa , kiuchumi, na hata kitamaduni
Kweli kabisa,hili sakata la umeme lina nini nyuma ya pazia mkuu
 
Habarini wanajamvi!

Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi milele.

Nawasilisha
Bangi mbaya sana
 
Kitabu Bora kabisa maishani mwangu, unasoma elimu ya msingi ya kibinaadamu Sio mavitabu ya self help book,mara kitabu Cha kua tajiri. This is the primary book
Wacha nikipitie
 
Bangi mbaya sana
🤣🤣 Brother huyu mtoa mada yupo sahihi sana. With time Kila mtu ataujua huu, ukweli mchungu. Hata wewe ipo siku utarealize kwamba haya maisha ya Dunia is pure pure illusion. Kuna watu wakiumwa sana,wakikaribia kufa,wakifilisika,wakipata majanga makubwa ya kimwili, challenge kama hizi ni muhimu sana kumfanya binaadamu kua awakened na conscious na katika kua awakened una realize kua haya maisha is just small part of what is inside us.
 
Basi sawa
 
Back
Top Bottom