Duniani tunaota tu, sio Maisha halisi

Wala sio move master tunaishi maisha ya kwenye mifumo flan tuliyopangiwa na watu fulani, kidin. Elimu, kisiasa , kiuchumi, na hata kitamaduni
Kweli kabisa,hili sakata la umeme lina nini nyuma ya pazia mkuu
 
Bangi mbaya sana
 
Kitabu Bora kabisa maishani mwangu, unasoma elimu ya msingi ya kibinaadamu Sio mavitabu ya self help book,mara kitabu Cha kua tajiri. This is the primary book
Wacha nikipitie
 
Bangi mbaya sana
🤣🤣 Brother huyu mtoa mada yupo sahihi sana. With time Kila mtu ataujua huu, ukweli mchungu. Hata wewe ipo siku utarealize kwamba haya maisha ya Dunia is pure pure illusion. Kuna watu wakiumwa sana,wakikaribia kufa,wakifilisika,wakipata majanga makubwa ya kimwili, challenge kama hizi ni muhimu sana kumfanya binaadamu kua awakened na conscious na katika kua awakened una realize kua haya maisha is just small part of what is inside us.
 
Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…