Hapana mkuu sijawahi.wewe ni mtembezi umeshawahi kufika sauzi?
Ila kwa waliofika wanadai kuwa hawajatupita sana,yani tunakimbizana nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu sijawahi.wewe ni mtembezi umeshawahi kufika sauzi?
huwa nawapa 65% kwa 35%Hapana mkuu sijawahi.
Ila kwa waliofika wanadai kuwa hawajatupita sana,yani tunakimbizana nao.
Kwasababu wapo wanaosema kule ishu ya madawa ya kuongeza nyash imekua kubwa pia kama ilivyo Nigeria na Ghana.huwa nawapa 65% kwa 35%
kule hapana kwa kweli. ni balaa lingine. bila Mungu hutoboi
WeeeeUme fika South africa wewe??