duu! umenikuna. huwa nazitumia sana nikashangaa y safari hii zinaniwasha? nikaacha sikumaliza dozi kumbeeee
Wahindi ndiyo zao hapo...wahindi au wachina wamefanya huo mchezo, washenzi kabisa, pu.....vu zao!
T.F.D.A mpo wapii? Chunguzeni Hizi dawa za maleria ambazo zinatumika sana duo cotexin zipo copy fake na mgonjwa akizitumia zinawasha vibaya mno wakati zile org haziwashi na ukiziangalia huwezi kuzitofautisha na zile org tofauti ipo kwenye exp date ya mwezi ndio tofauti wadau fuatilieni makabwela mtatuulia figo zetu dengue inatosha jamani.
wahindi au wachina wamefanya huo mchezo, washenzi kabisa, pu.....vu zao!
Indisputable material for JF Doctor! Please Active, do something!T.F.D.A mpo wapii? Chunguzeni Hizi dawa za maleria ambazo zinatumika sana duo cotexin zipo copy fake na mgonjwa akizitumia zinawasha vibaya mno wakati zile org haziwashi na ukiziangalia huwezi kuzitofautisha na zile org tofauti ipo kwenye exp date ya mwezi ndio tofauti wadau fuatilieni makabwela mtatuulia figo zetu dengue inatosha jamani.