lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,496
- 1,057
T.F.D.A mpo wapii? Chunguzeni Hizi dawa za maleria ambazo zinatumika sana duo cotexin zipo copy fake na mgonjwa akizitumia zinawasha vibaya mno wakati zile org haziwashi na ukiziangalia huwezi kuzitofautisha na zile org tofauti ipo kwenye exp date ya mwezi ndio tofauti wadau fuatilieni makabwela mtatuulia figo zetu dengue inatosha jamani.